Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,026
- 859,123
Zoezi linaloendelea sasa ni vijana wa TRA kufunga vituo vyote vya mafuta ambavyo havina mashine ya VAT iliyounganishwa Direct na [emoji618]️ pump
Tayari Delina na Lake oil wameshapigwa utepe mwekundu ule wa pundamilia
Safari inaendelea kuelekea kwa Mathias
Angalizo muhimu: kama una mpango wa kujaza mafuta mitaa hiyo ahirisha na ujaze kituo jirani nawe.... Usije kukwama safari
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app