Mbona mnakera madereva wa mwendo kasi

Mbona mnakera madereva wa mwendo kasi

Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
995
Reaction score
492
Utakuta madereva wa mwendo kasi ikifika mida ya jioni wakishajaza watu uko kituo cha gerezani basi wao mwendo mdundo kusimama awataki kabisaa nikero tupu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
kuna kidude chekundu hata karibu na mlango pia kipo.ukiona anapitiliza we kituo chako ni next simama bonyeza kile kidude kwa nguvu
 
[emoji23] [emoji23] unamwonyesha alama ya hivi[emoji106] [emoji106] alati anakuja
Wale madereva wana mambo ya kuudh sana

May Allah bless Me and You
 
Kusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
 
Shida ni kwamba hakuna supervision,hakuna monitoring hakuna evaluation.Hakuna wa kupokea na kufanyia kaz maoni ya watumiaji,hilo ni kosa alofanya dereva,ila hakuna Rapid response na abiria hawajui wamwambie nani?

Aiseeeee!!! Humo ndan mlikua
Waoga,wote yan
Ilifaa wanaume mshuke

Mkamtoe huyo dereva na
Dirishan mumshushe hapo
Na kipigo cha,mbwa mwiz

Wanaume wa dar hata n haki
Yenu mkawakimbia
Panya road

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kumaanisha haya mabas
Hayana kondacta??

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kwani Cku Hizi Hamna Dala Dala

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Shida ni kwamba hakuna supervision,hakuna monitoring hakuna evaluation.Hakuna wa kupokea na kufanyia kaz maoni ya watumiaji,hilo ni kosa alofanya dereva,ila hakuna Rapid response na abiria hawajui wamwambie nani?

May Allah bless Me and You
Kweli kabisa. Wengi wetu tulipoteza muda sana kupitishwa kwenye vituo tulivyopaswa kushuka. Na hakuna pa kupeleka malalamiko
 
Kusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
Kwanini hamkumchapa makofi?sasa mkiitwa wapumbavu na malofa mnaenda kwenye haki za binadamu kulalamika.

Regards
Mukulu binadam
 
Aiseeeee!!! Humo ndan mlikua
Waoga,wote yan
Ilifaa wanaume mshuke

Mkamtoe huyo dereva na
Dirishan mumshushe hapo
Na kipigo cha,mbwa mwiz

Wanaume wa dar hata n haki
Yenu mkawakimbia
Panya road

Triple A
Ulichosema ni sahihi. Wanaume wa dar ni waoga saaaaaaaaana. Watu zaidi ya 30 tulipelekeshwa na kamtu kamoja ambacho unaweza kukakunjurua hadi kaarishe tukashindwa
 
Kweli kabisa. Wengi wetu tulipoteza muda sana kupitishwa kwenye vituo tulivyopaswa kushuka. Na hakuna pa kupeleka malalamiko
Zile namba hazipatikani,yaani ule usafiri ndugu yangu ni kero,nshawah pitilizishwa dereva anasimama kituon sekujde kadhaa while bas limejaa

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom