Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi Morogoro inawashikilia watu 7 kwa makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa na simu 700, dola feki 6600, pikipiki 2 za wizi na gongo lita 200
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imeelezwa tangu tanzania ilipojitoa rasmi katika jumuiya za nchi wafanyabiashara kusini mwa bara la afrika(COMMESA)imepelekea kuyumba kwa soko la zao la Tumbaku baada ya wanunuzi wa zao hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Hii ishu nimekua nikikutana nayo sehemu nyingi lkn juzi imezidi,baada ya mihangaiko yng niliamua kwenda bar flan kwenda kupiga mbili Tatu,sasa kilichoniboa ni aina ya muziki walokua...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Muhenga aliyesema umasikini si wa kuukubali. Watu wanaisho maisha magumu ambayo ingekuwa ni wazungu wangeyakataa lakini wao wana furaha sana wanacheza ngoma mitaani. Si CCM, si CHADEMA, si CUF...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Habarini,jamani nilinunua kiroba cha mchele sehemu nayoiamini kabisa ila cha kushangaza nao ni plastic vile vile. Nkidunda yani unadundika,msaada kwa anaejua jinsi ya kuangalia mchele wa plastic...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Siku moja baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kusema atagombea tena urais katika uchaguzi ujao, CCM imesema inamsubiri na ina uhakika itamshinda tena. Mbali na CCM...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu mtandao pendwa wa tigo 4g speed yake sio ya kimchezo mchezo Tigo wapo vizuri sana kuliko hata voda Voda mb zinayeyuka fastaa, ila tigo raha sana hawakati hovyo Tigo wakiweka minara ya kutosha...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Thamani ya mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yalipungua kwa asilimia 35 wiki iliyopita huku Benki ya CRDB ikinufaika kutokana na kupanda kwa bei. Hisa moja ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ikiwa ni siku tatu tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita, Shule ya Sekondari ya Njombe imelilalamikia Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) ikidai matokeo hayo hayaendani na wastani...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Baada ya kutangazwa kila atakaekutwa anaoshewa gari analipa laki mbili ama 200'000 Sasa n wazi kuna vijana wanavamia magari ya WATU nakuanza kuyaosha pasiporuhusiwa na baada ya sekunde huja MTU...
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Wamerusha tena habari za baba wa Dsm wakati TEF walipiga marufuku sasa sijui inakuwaje? Au ndo kutafuta uhenga???? Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Salaam Kama kichwa kinavyoeleza ni mwaka wa pili sasa serikali haijatoa ajira wala kupandisha mishahara na vyeo kwa watumishi kwa kigezo kwamba bado inafanya uhakiki wa watumishi hewa hakuna...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF, Leo tarehe 18/07/2017 majira ya mchana(saa 6 hadi saa 7 mchana) Hali sio nzuri kama kichwa cha habari kinavyoelezea. Kwa wateja wa bank zinazotumia ATM za UMOJA hasa wateja wa BOA...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tokea umejiunga Jf umejifunza nini.?Na imekusaidia nini katika maisha yako ukizingatia kuna majukwaa tofauti tofauti. Binafsi nimejifunza mbinu mbali mbali jinsi ya kukabiliana na...
2 Reactions
118 Replies
6K Views
Mapato yatokanayo na mitandao ya simu yameshuka Barani Afrika kuanzia mwaka 2013 kufuatia kuingia kwa teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya WhatsApp. Utafiti unaonesha kuwa watumiaji wa mitandao...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Wapi mtandaoni ninapoweza kupata ramani zinazoonesha mgawanyo wa tarafa,kata na vijiji vya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu? Kwa mwenye kujua wavuti husika,naomba anitajie! Na kwa wale wenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumbe toka 2004 tulikuwa tuna haki ya kimkataba ya kuachana na hili jinamizi, lakini mtu anapendekeza kutuhonga punguzo la Capacity Charges toka billioni 5.2 mpaka billioni 2.6 ili tusiitumie ile...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Makampuni makubwa ya usafirishaji ya ndege duniani yanavunja rekodi ya hasara katika biashara kwenye sekta husika! Je tumeoder deamliner zije kututia hasara au ni za kufugia kuku wa kienyeji...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kifaru cha jeshi kaiga kobe na konokono wa baharini Yale mandege stealth ya USA kaiga kwa popo Gari kaiga Farasi Ndege kaiga Tai Nyambizi kaiga Dolphins Mfumo wa uendeshaji ktk gari i.e.mfumo...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…