Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,668
- 2,585
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro
Mkuu, mambo kama hayo yanahitaji ushahidi. Si tetesi wala stori za vijiweni tu. Tafiti vyema halafu fikisha mahali husika; hata hapa JF na suala lako litashughulikiwa.Inasemekana wanafanya hivyo ili kuwalazimisha wagonjwa kwenda kwenye vituo vya nje (wanavyovimiliki wao) ili kupata hiyo huduma tena kwa gharama ya juu. Pia unaweza kuwa na shida ndogo lakini watakulazimisha ukafanye hicho kipimo huko nje hata kama sio lazima