Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

papaa maglass

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
353
Reaction score
301
Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili.
Ninayo IMEI namba ya simu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Piga moyo konde....
Kisha nunua Samsung age 7
Shida siyo simu tu bali ameiba na fedha ndizo zinaniumiza kichwa.
Kwani lengo la simu zote kuwa na IMEI namba sikusaidia kwenye mambo kama Haya.
Wakuu Mwenye uzoefu na hilo anisaidie.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Shida siyo simu tu bali ameiba na fedha ndizo zinaniumiza kichwa.
Kwani lengo la simu zote kuwa na IMEI namba sikusaidia kwenye mambo kama Haya.
Wakuu Mwenye uzoefu na hilo anisaidie.

Post sent using JamiiForums mobile app
Nenda makao makuu ya mtandao unaotumia ukiwa na imei ya cm, watakuangalizia namba inayotumia hiyo cm nadhani utampigia unavyojua na akionana na wewe unamshika kama kuku Wa kisasa

Asante kwa ushauri mkuu nitaufanyia Kazi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili.
Ninayo IMEI namba ya simu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Ulivyosema umeibiwa simu, umenikumbusha kitu ivi serikali aikemei makampuni yaliyopata tenda za kulinda pale Mlimani city na pale Magomeni NMB. Kuna wizi wa kufa mtu, mtu anatoka kuchukua pesa bank. Jamaa wanamlia taimingi ya kumuibia pesa na wengi wanakuwa na noah au ndio michongo na walinzi wa sehemu izo na watumishi wa bank zilizopo Mlimani city na pale Magomeni NMB bank [emoji542]
 
Kweli mkuu usiombe yakukute.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwanza piga mtandao husika kuwajulisha simu yako umeibiwa ili waiblock laini yako ,Pili nenda kituo kikubwa cha Polis ukafungue kesi na utapata loose Report ya Polis. Tatu, Nenda TCSR ukiwa na Loose report ya Polis,IMEI, kwa msaada zaidi.KUMBUKA MAELEZO YAKO POLIS NDO YATAKUJA KUTUMIKA MAHAKAMANI PINDI MTUHUMIWA AKIKAMATWA, HIVYO HAKIKISHA UNAANDIKA VITU VYOTE ULIVYOIBIWA NA NAMNA ULIVYOIBIWA .
 
Asante ndugu, laini nimesha ifunga nitaendelea nataratibu nyingine kesho. Ubarikiwe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom