Je haya ni aina gani ya madini

Je haya ni aina gani ya madini

massimu jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
542
Reaction score
595
Wataalamu wa madini naomben mniambie haya ni aina ya madini
0940187944c58e3d372b11f343967e64.jpg
93c21eca1358468ed76b7d483d49b16b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingawa picha hazionyeshi vizuri inaonekana kama quartz iliyoingiza maziwa
 
Kwa kuangalia tu picha sio rahisi kujua ni madini gani. Lakini inaonekana kama ni feldspar. Thamani yake sio kubwa. Au labda ni quartz
 
Hayo mawe hayana thamani kati hali na ukubwa huo, likiwa kubwa linaweza kukatwa na kuwa polished na kutoa sheets za urefu wa 200cm na upana wa 62cm - 80cm, sheet moja linauza laki 6 hadi 1m, hutumika kama counter na table tops. Hapo yalipo ni worthless
 
Back
Top Bottom