Tundu Lissu Anatumia Formula Ngumu Sana

Tundu Lissu Anatumia Formula Ngumu Sana

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Habari zenu wanajanvi.

Mara nyingi nimekua nikifuatilia Formula mbalimbali zinazotumiwa na wanasiasa mbalimbali hususani katika kipindi hiki kigumu cha hali ya kisiasa nchini japo nipo nje ya Nchi kwa muda sasa.

Ninapendezwa sana na Formula ngumu anazotumia Tundu hususani Formula aliyotumia hivi juzi, unajua katumia Formula mbili tu kwenye Press yake lakini impact aliyoleta utampenda

1.Adui Muombee Njaa
2.Makalio ya Sufuria hayaogopi Moto

Kwenye Formula namba Moja Kaiombea Serikari Njaa na Formula namba mbili yeye haogopi misuko suko kwani kazi ya Sufuria ni kuungua Makalio ili kuivisha chakula.

Kweli awamu hii ni ya Formula Ngumu kwa Wapinzani.
 
Yako

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha umefikiria jamaa lina akili sana sema wenzake wanatumia nguvu, ingekuwa nchi yenye independent institution mbona lissu angemsumbua sana magu maana hapa tu tayari anasumbua kinoma
 
Back
Top Bottom