Huyu Msemaji wa Polisi simuelewi jamani

greater G

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
308
215
KIBITI SHWARI, ANAYETAKA NA AENDE – ACP MWAKALUKWA

Msemaki wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji imeimarika sana na watanzania wanaweza kwendsa huko kufanya shughuli zao buila woga.
Ameyasema haya wakati akizungumza na wahariri wa Mwananchi Communications Limited (MCL) alipofanya ziara ya kujionea shughuli za kampuni hiyo.
ACP Mwakalukwa amesema tangu kuanzishwa kwa kanda maalum ya polisi katika eneo hilo, matukio ya uhalifu yamepungua na polisi wameweza kwa kiasi kikubwa kuwadhibiti watu waliokuwa wanafanya uhalifu.... Kibiti shwari, anayetaka na aende – ACP Mwakalukwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wangemwacha Yule mwenye madevu alikuwa ametulia Sana na kuusoma mchezo
 
Back
Top Bottom