BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,580
- 3,510
Salary out lakini hakuna nyongeza yoyote. Acha tuisome 1 3 47889
Mliahidiwa nyongeza??
Nyongeza IPO kisheriaMliahidiwa nyongeza??
Teh,lile punguzo la 2% kwangu imeongezeka buku 3..
Saivi hakuna cha sheria wala nini. Mtu mmoja anaamua upewe increment au la. Mtajuta kukipa kura chama cha kijaniNyongeza IPO kisheria
Saivi acheni mambo ya mazoea..Tupo awamu ya tano au mmesahaumkuu kautaratibu tu ambako tumekazoea kwa miaka mingi
mkuu watu washelia sana.Naombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?
Naombeni msaada wakuu,nimehamisha pesa kutoka Nmb mobile,kuileta M _pesa..lakin haijaja ila salio kwa account limekatwa.nafanyeje?