manyangumbishi
Member
- Feb 1, 2017
- 6
- 4
HOJA BINAFSI:
TUTUMBUE JIPU?
SERA YA ELIMU KATIKA SERIKALI YA MAGUFULI, ELIMU BURE.
naunga mkono sera hii ya elimu bure, naunga mkono utendaji kazi wa rais wangu kwa aslimia kadhaa wa kadhaa.
HOJA YA MSINGI:
Hawa viongozi walioanzisha michango (ya lazima) ndani ya elimu bure, wanamaana gani? Baadhi ya wenyeviti wa vijiji, vitongoji, madiwani nk, katika maeneo fulani fulani huwalazimisha wananchi wachangie elimu, tena mara nyingine kwa kukamatwa na kufikishwa katika ofsi za vijiji kwa maamzi, (na ngazi za juu, za wilaya, nk) wapo kimyaa kana kwamba haya yanatokea nje ya mipaka ya mamlaka zao.
Rais alisema, "NINAPOSEMA ELIMU BURE. NAMAANISHA NI BURE"
Sasa ninachoshangaa hivi vimichango michango vya lazima visivyo na kichwa wala miguu vinatoka wapi?
Hili ni jipu, liive litumbuliwe
NGOJA LEO NIISHIE HAPA,
Manyangu J. Mbishi
Sent using Jamii Forums mobile app