Waziri Kairuki kulikoni ile ahadi yetu

callixtus

Member
May 7, 2015
86
125
mambo yanayomfanya mtu asome kwa bidii ni pale anapoona aliyesoma anakuwa na maisha mazuri mfano utamwambia nini mtoto wa mfugaji ambaye baba yake anafoleni ya walimu kwenda kuomba pesa za riba umwambie na yy asome wakati walimu wanaongoza kwa njaaa? kwa hili mh hata increment kweli mmetuvunja moyo kiukweli sijui tunaelekea wapi maana tutaendelea kufanya kazi kwa manung'uniko
 

Boss Mdogo

Member
Jul 14, 2017
51
125
Hivi bado kuna Watanzania mnaamn huu uongozi na ahadi zake? Hakika kama watu bado tunaamn tutakufa maskn!

Awamu ya 5 ni awamu ya matamko na matukio tu ikiwemo na kiki zisizoisha, SIASA ZA KILOFA TU, ETI TZ YA WANYONGE! mnyonge umnyonge lakn haki yake umpe! Haya hayapo awamu hii! Kila mtu kupambana na hali yake,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom