Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 26,030
- 51,313
Vyombo vingi kama siyo vyote vya habari hapa nchini vimelemewa na madeni na vingi vyake wafanyakazi wake wanafanya kazi nusu kujitolea na nusu wanalipwa mishahara. Mishahara na fedha za kuendeshea vyombo vingi vya habari limekuwa ni tatizo kubwa sana. Siyo muda mwenye kumlipa mpuliza zumari ndiyo atachagua wimbo wa kuimbwa!