Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Hili jambo wengi sana hulibeza, wanalichukulia mzaha lakini si mzaha ndo uhalisia ulipo.
Zipo njia mbili tu za kukufanya utajirike, wala usidanganywe na mtu au kujidanganya mwenyewe eti ni kufanya kazi Kwa bidii.
Kama ni kazi, kila mtu mwenyewe akili timamu anafanya kazi Kwa bidii ili kufikia malengo yake lakini wapi...! kila kukicha shida haziishi na matatizo ndo yanaongezeka, nitajaribu Kwa kadri ya uelewa wangu kuwafafanulia njia za watu kutajirika ambazo ndo, zinatumika pote duniani Kama ifuatavyo:
MUNGU
Hii ndo njia bora na nzuri Sana kuliko zote, ila sasa njia hii wengi inatushinda kuifuata maana imejaa miiba mingi Sana, ili ufanikiwe kupitia njia hii ni lazima uishi maisha tofauti na wanadamu wengine, usimtende Mungu wako dhambi, utoe sadaka mara Kwa mara Kwa maskini hasa wajane na yatima.
Ujue kuwa kuna Siku utakufa na kuacha mali zote ulizo chuma, yaani kifupi uwe mcha Mungu hasa.
Ukiweza kuifuata njia hii, na kumwomba Mungu chochote kile utakacho atakupa, na utajiri wako utakuwa wa vizazi na vizazi na kamwe huwezi kufilisika kabisa hadi kizazi chako cha tatu na kuendelea.
SHETANI
Hapa ndo penye mziki mnene, Shetani huwa hatoi bure ni jino Kwa jino, unapotaka kutajirika Kwa njia za kishirikina, jiandae kuishi maisha magumu na yasiyo na amani hata Kama unaingiza bilioni moja Kwa Siku.
Utajiri wa kishetani haudumu, umejaa majonzi, huzuni, laana na misukosuko ya kila aina.
Unatakiwa kwanza ukubali kuua, tena unayemuua awe mtoto wako, baba yako, mama yako, mdogo wako, kifupi iwe damu yako halisi.
Na maagano haya ni lazima uyafanyie kuzimu, Siku hiyo hiyo uliyoenda kuzimu utakuta picha ya mmoja Kati ya ndugu zako wa damu, na wenyewe kule kuzimu ndo watakupangia sasa ni nani anapaswa kuuawa, ukiwakubalia tu, siku hiyo hiyo unaondoka na fungu lako la pesa nyingi Sana keshi na kurudi duniani, ila lazima kwanza uwe mwanachama hai na uwe umepata mafundisho ya kutosha kuhusu kuzimu.
Pia utapewa funguo maalumu za kuwa unarudi kuzimu Kama una shida (siyo Kama funguo za gari au nyumba, ni Fimbo maalumu au usinga)
Ama utapewa nambari maalumu.
Na Njia kuu ya kuelekea kuzimu ni kupitia ziwani, baharini, bwawa kubwa au mto mkubwa.
Endapo mamlaka za kuzimu watakuonea huruma usimuue nduguyo, basi lazima ukubali kumgeuza awe ndondocha, lakini hutakuwa tajiri sana kama Yule aliyeua, mambo haya yanahitaji mtu ajitoe fahamu kabisa, ila mwisho wake si mzuri hata kidogo.
Na ukiua, si kwamba ndo umemaliza, itakubidi lazima uwe unatoa sadaka za damu ya binadamu kila baada ya miaka kadhaa, na wakati huo jina lako linakuwa tayari limeandikwa kuzimu, Kwa maana ya kwamba wewe unakuwa mali yao halali kabisa.
Na Siku ukifa unaenda moja Kwa moja kwao (kuzimu) na huku duniani mali zako zote wanaziijia na kumgawia mwanachama mwingine.
Hata ukitaka urais bila kujali ukoje utaupata tu, bora ukubali kuwatoa kafara ndugu zako na uendeleze sadaka za kafara.
Kazi hiyo hufanywa na pepo linaitwa "Jemedari Wa kafara ".
Njia za kuyapata haya si ngumu zipo wazi kabisa, lakini je?! utakabiliana na misukosuko?
Ni lazima uchague upande, Kwa nguo zako tu ulizovaa eti unautaka utajiri, utasubiri Sana.