Takwimu ya mambo yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,787
Habari za jioni wanafamilia.
Ni vizuri tukapata takwimu ya matukio yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo

Mpaka sasa idadi ya watu duniani ni zaidi ya bilioni 7.5,zaidi ya watu bilioni 3.68 wametumia internet katika matumizi mbalimbali kwa siku ya leo na idadi inaongezeka,

Sigara zilizovutwa mpaka sasa ni zaidi ya bilioni 12.126,kwa mahesabu ni kama kila mtu kavuta sigara leo, waliozaliwa ni zaidi ya watu laki 3 na waliokufa ni zaidi ya watu laki 1.2 na waliokufa kwa malaria ni zaidi ya watu elfu 2, waliokufa kwa njaa ni zaidi ya watu elfu 24, na mimba zilizotolewa (abortion) ni zaidi ya mil 23 kwa mwaka huu.

Kwa takwimu zaidi tembelea
Worldometers - real time world statistics
 
Tanzania, ndiyo nchi bora na yenye vivutio vingi sana Kwa utalii barani Afrika.

Felicitations Mon Pays, Tanzanie!
 
Mapato yanayoingia kwa utalii kwa mwaka ni sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma budget yetu wizara ya maliasili na utalii utaelewa au report za BOT .
Kwa kukusaidia tu, ni kwamba Kati ya sekta 5 zinazoiingizia serikali ya Tanzania pato utalii ni miongoni mwa sector hizo, mara nyingi ni sekta ya 1ama ya 2 ikishuka sana ni 3.

Mfano, kila mwaka ni dollar 2+ billion.
 
Soma budget yetu wizara ya maliasili na utalii utaelewa au report za BOT .
Kwa kukusaidia tu, ni kwamba Kati ya sekta 5 zinazoiingizia serikali ya Tanzania pato utalii ni miongoni mwa sector hizo, mara nyingi ni sekta ya 1ama ya 2 ikishuka sana ni 3.

Mfano, kila mwaka ni dollar 2+ billion.
Na kukiwa na mipango mizuri inaweza ingiza zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka muda huu watoto zaidi ya elfu 7 wenye umri chini ya miaka mi 5 wamefariki
 
Back
Top Bottom