eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,812
- 16,483
Kuna watu ambao katika maisha yao yaligubikwa na umwagaji wa damu au kuua watu. Mpaka majina yao yakitajwa watu wanashtuka. Mfano wa majina hayo ni Jonas Savimbi, Idd Amini Dada, Fodei Sanko, Josef Kone, Laurent Nkunda na wengine wengi.
Swali ni, je watoto wao au watu wao wa ukoo wanaweza kuwa huru kutumia majina yao ya ubini au ukoo??
Swali ni, je watoto wao au watu wao wa ukoo wanaweza kuwa huru kutumia majina yao ya ubini au ukoo??