Lodge au guest house nzuri Songea mjini

Lodge au guest house nzuri Songea mjini

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
5,313
Reaction score
11,002
Ndugu naombeni kujulishwa lodge au gest nzuri na ya bei nafuu Songea mjini karibu na stand tafadhali.
Vile vile sehemu nzuri ya kupata totozi za kingoni, natarajia kutua hapo mwendo wa saa kumi na mbili hivi jion
 
b1c51bd3a58042b356b32a6104de6199.jpg
5357adc91cc52da879482e5c20dfcec9.jpg
 
*WAYA CLASSIC LODGE*
Ukija mjini Songea usihangaike sehemu ya kulala, ni WAYA classic lodge pekee

*Ni bed and breakfast ya nguvu*

Nicheki kwa uhitaji wako 0658389266
 
Ndugu naombeni kujulishwa lodge au gest nzuri na ya bei nafuu Songea mjini karibu na stand tafadhali.
Vile vile sehemu nzuri ya kupata totozi za kingoni, natarajia kutua hapo mwendo wa saa kumi na mbili hivi jion

Sasa Wewe huyu huyu tena unataka Lodge / Guest House za bei nafuu halafu hapo hapo tena unataka ukale ' Bata ' za Totooz za Kingoni mbona hueleweki? Halafu unaonekana pia siyo Mjanja kwani Mjanja huwa haulizi Nyumba za Kulala Wageni Mitandaoni bali huwafuata tu Masela wa hapo alipo na humuelekeza. Nikushauri tu hizo Hela za Kuhonga hao Mademu wa Kingoni mtumie Mama yako anayeshindia ' Udaga ' sasa huko Kijijini Kwenu Mbwinde zitamsaidia.
 
Huko ulikotoka hakuna chupi!??
 
guest kibao town..... labda nikuelekeze tu sehem ya kupata watoto ni BAR INAITWA VIJANA PUB, AU CLUB INAITWA IKWETA SEHEM HIZO UTAPATA TOTOZ MKUU .... GUEST KIBAO TU HUKO TENA CHEAP
 
Duuh mwendoo tyuu wa totoz ila ngoma nayo ina uwa
 
Sasa Wewe huyu huyu tena unataka Lodge / Guest House za bei nafuu halafu hapo hapo tena unataka ukale ' Bata ' za Totooz za Kingoni mbona hueleweki? Halafu unaonekana pia siyo Mjanja kwani Mjanja huwa haulizi Nyumba za Kulala Wageni Mitandaoni bali huwafuata tu Masela wa hapo alipo na humuelekeza. Nikushauri tu hizo Hela za Kuhonga hao Mademu wa Kingoni mtumie Mama yako anayeshindia ' Udaga ' sasa huko Kijijini Kwenu Mbwinde zitamsaidia.
Machungu lakini dahawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom