chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
wadau habari
mapema mida ya saa sita niliingia kwenye web ya mkekabet nikachagua timu kadhaa nikaweka 20000 katika timu nilizochagua iliwemo leicester na liverpool ambayo itachezwa mda si mrefu kwenyee saa 9 hivi cha ajabu baada mada flani nikawaa naangalia maendeleo ya mkeka wangu nikakuta lost kuangalia matokeo timu ya leicester v liverpool niliyoweka magoli mawili yapatikane iewekewa lost huu si wizi huu sasa nitakuwa na uhakika gani kwa mikeka yangu iliyopita kama sikuwa na ibiwa kwa mtindo huu,je nichukue hatua gani? slip ID: 18374714
jamani wadau wenzangu wote wa kubet muwe makini tena kwenye kipindi hiki cha msimu wa mpira ligi zinaanza