TRA mgefanya sensa kila mtaa

TRA mgefanya sensa kila mtaa

Mm mwenyewe huwa nakerwa sana pale ambapo TRA wanapokuja kukusanya kodi kwenye hayo maduka afu unashangaa wenye maduka wanafunga mapema kwa kupata taarifa toka kwa watu, hili wazo la kuwatumia wajumbe wa eneo husika na serikali za mitaa au vijiji naona ni zuri sana maana kila duka litakuwa linajulikana ni la nani na kwann kafunga wakati TRA wanapita kukusanya kodi na utaratibu wote naomba uwe organized kutoka ngazi za chini kabisa za serikali ili kuhakikisha kila mtu analipa kodi husika na watoe taarifa kwa yeyote ambaye atakutwa hajalipa kodi aweze kuchukuliwa hatua kali sana.
 
Hivi mnadhani kulipa kodi raha sana eeeeh?
 
Haya majitu yanyolazimisha ulipwaji wa kodi, yenyewe hayalipi kodi wala kuwa na mchango wowote,
Hiyo kodi unayotoa wanaipiga vizuri wanasiasa, bora na sie tuikwepe kiana ili tuendelee, natamani warudishe kodi ya kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila aibu mtu hana biashara yoyote zaidi ya makalio anakaa kupanga kuisaidia TRA kukusanya mapato badala ya kumsaidia familia yako iongezekipato na ku survive! mtaani nani anataka hizo risiti.unadhani wasiotoa risiti hawalipi kodi? mjinga kweli wewe! kodi zinalipwa provosional tax/final tax hata bila risiti hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi sio msingi wa maendeleo hili tumelazimishwa kuelewa hivyo na sio kweli kabisa .....

Sababu ninayo
Mfano ..
Gulf countries zote hakuna kodi na wanamaendeleo yakufa mtu

Countries ambazo hakuna kodi (tax freel)
1) Saudia arabia
2)U.A.E (Dubai )
3)Kuweit
4)Oman
5)Qatar
6)Brunei
Na nyingenezo mbona wanamaendeleo yakufa mtu. Wameweza kutumia natural resourceses zao na wemeweza kufika hapo walipo .




Zimwi likujualo......
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Bila aibu mtu hana biashara yoyote zaidi ya makalio anakaa kupanga kuisaidia TRA kukusanya mapato badala ya kumsaidia familia yako iongezekipato na ku survive! mtaani nani anataka hizo risiti.unadhani wasiotoa risiti hawalipi kodi? mjinga kweli wewe! kodi zinalipwa provosional tax/final tax hata bila risiti hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asiye mzalendo=Haini
Haaaaa haaaaa.....jokes Primary@TBT
 
Mnunuaji ndiye anayelipa kodi anapokuwa ananunua bidhaa kodi hiyo inakusanywa na muuza lakini hii kodi aliyoitoa mnunuaji inaishia kwa muuza anakula faida pamoja na kodi muuzaji ni kama mkusanyaji tu alipi kodi bali mnunuaji ndiye anayelipa kodi kwa kila bidhaa anayonunua.RISITI ZITOLEWE maana sio nyie mnaolipa hiyo kodi bali mnunuaji na kodi yenyewe inaishia kwa wauzaji.
Elimu bora [HASHTAG]#Hongera[/HASHTAG] boss
 
Back
Top Bottom