Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Leo kidogo nimtwishe konde mmasai maeneo ya kariakor.
Nipo nahangaika na mishemishe zangu mpumbavu mmoja mmasai anatokea ananza kunifuata na kunaniambia 'Yero nina dawa ya kipara' kwani mmesikia kila mwenye kipara anatafuta dawa?
Kwa kweli nilipata hasira ambayo zingekuwa converted to energy zingeweza kuingizwa kwenye gridi ya taifa.