Tanzania sasa sio nyumbani kwetu

Tanzania sasa sio nyumbani kwetu

BenMB

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
25
Reaction score
41
Wana jamvi kwa hali ilivyo sasa kila mtanzania mwenye akili timamu ukimwangalia usoni hana furaha hana amani utadhani ni mkimbizi ambae hakupaswa kuyafurahia maisha awapo ukimbizini lkn hapa ndio kwetu tumezaliwa hapa tutafia hapa tutazikwa hapa watawala tupeni nafasi kuyaona maisha ni bora tukiwa Tanzania lkn kinachofanyika ni kuwafunga kinywa punda ambae umembebesha mzigo mzito Mungu atawahukumu kwani kila moyo wa mtanzania sasa anaishi kwa hofu wasiwasi na Mashaka tele hatuwaombei kwani hatuna huo muda tunaombea maisha yetu mkisubiri hili ni Laana inawajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa ujinga wako hapa, wewe ni moja ya watu wanaopaswa kukatwa kichwa kwa kupungukiwa akili
 
Therez nothing to smile about. Zaidi ya vitisho na uhakiki usiokwisha hawana jipya. Walilikoroga la sukari mpaka kesho watz wananunua bei ghali. Halafu wapo wale wakushabikia kila jambo bila kutazama uhalisia wa mambo. Waliokata viuno kwenye kampeni na sisi tuliobaki makwetu sote tunaisoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana jamvi kwa hali ilivyo sasa kila mtanzania mwenye akili timamu ukimwangalia usoni hana furaha hana amani utadhani ni mkimbizi ambae hakupaswa kuyafurahia maisha awapo ukimbizini lkn hapa ndio kwetu tumezaliwa hapa tutafia hapa tutazikwa hapa watawala tupeni nafasi kuyaona maisha ni bora tukiwa Tanzania lkn kinachofanyika ni kuwafunga kinywa punda ambae umembebesha mzigo mzito Mungu atawahukumu kwani kila moyo wa mtanzania sasa anaishi kwa hofu wasiwasi na Mashaka tele hatuwaombei kwani hatuna huo muda tunaombea maisha yetu mkisubiri hili ni Laana inawajia

Sent using Jamii Forums mobile app

HUNA SABABU YA KUISHI KWA HOFU KAMA UNAFUATA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI, LAKINI KAMA ULIZOEA KWENDA KINYUME CHA SHERIA NA ULIKUWA UNAJIHUSISHA NA MTANDAO WA KIFISADI KUJIPATIA KIPATO KWA NJIA ZA UJANJAUJANJA, NDUGU YANGU UMELIWA ! ZAMA ZILE ZIMEPITA SASA KAZI TU,UTAKULA KWA JASHO LAKO!!!!!! NA USIPOANGALIA SIO TU UTAONEKANA HUNA FURAHA USONI, BALI USO WAKO UTAKUNJANA KAMA MZEE WA MIAKA MIA!!!!!!!
 
Thanks to dikteta uchwara na ahadi yake, "Nitahakikisha Watanzania wanaishi kama mashetani" kuishi kama mashetani kumeshaanza rasmi na hata yale MAZUZU ya MACCM yanaisoma namba na hivyo kuishi kama mashetani.

Wana jamvi kwa hali ilivyo sasa kila mtanzania mwenye akili timamu ukimwangalia usoni hana furaha hana amani utadhani ni mkimbizi ambae hakupaswa kuyafurahia maisha awapo ukimbizini lkn hapa ndio kwetu tumezaliwa hapa tutafia hapa tutazikwa hapa watawala tupeni nafasi kuyaona maisha ni bora tukiwa Tanzania lkn kinachofanyika ni kuwafunga kinywa punda ambae umembebesha mzigo mzito Mungu atawahukumu kwani kila moyo wa mtanzania sasa anaishi kwa hofu wasiwasi na Mashaka tele hatuwaombei kwani hatuna huo muda tunaombea maisha yetu mkisubiri hili ni Laana inawajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Janet mwambie Mumeo kuwa sasa awasikilize watoto wa tz utakumbukwa kama Ester alivongia kinyume na taratibu kwa mfalme na kukomboa Israel ukiwa kimya ina maana nawe unamuogopa baba Janet km watu baki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama atakuwa anakula dozi mara mbili yetu in bora angebaki na teaching hiii hii wasiopata nyongeza kwa miaka miwili mfululizo.maana anaonekana hana raha.
Ondoa ujinga wako hapa, wewe ni moja ya watu wanaopaswa kukatwa kichwa kwa kupungukiwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Tz ni nyumba iliyokaribia kubomoko sasa inaimarishwa? Kama umechoka kuirekebisha nyumba kwa uvivu sisi tunaendelea kuijenga na mwisho utaipenda. Uliyechoka tutakuweka wapi? Anyway utakaa barazani sisi tatakaa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom