Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Nimesoma kwenye social media eti waganga wa kienyeji wa Tanzania wanamiminika katika nchi jirani ya Kenya ili kuwasaidia wanasiasa wa nchi hiyo kushinda uchaguzi nchi humo . Wajinga ndio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu na wana JF kuna swali limekuwa likinikera miaka mingi bila kupata ufumbuzi nikaona nilichomeke hapa nipate mawazo ya watu mbali mbali bila ubaguzi. Mimi ni mzalendo wa nchi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,Juz Kati nilitaka kusafirisha mzigo wangu ambao ulikua Ni zawadi kwa Jamaa Yangu ambaye anaishi nje ya nchi.Ilikua Ni kinyago kimoja Na frem ya picha yenye vinyago vidogo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nilipata passport muda mrefu kidogo ila ilikosewa mwaka wa kuzaliwa then sikuona umuhimu sana wa kubadilisha sababu nilikua na safari ya haraka nikaitumia kwa muda kama miaka kumi sasa nataka...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Ajira ya utumishi wa uma ni low risk employment na kikanuni za finance, the lower the risk the lower the return. Hivi majuzi kuna jamaa yangu mmoja amepata kazi ya mshahara wa milioni kumi, ila...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Mimi ni mdau mkubwa sana wa social media. Moja ya watu niliokua nawafuatilia sana, ni Millard Ayo. Yaani kwenye page zake za Twitter, Instagram Facebook na kwenye website yake ya...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wana JF Tunaomba tupate watu 4 tu wenye tatizo la athma ili tuwatibu bure ila vigezo na masharti kuzingatiwa. Lazima uwe serious na uwe na ushahidi wa kuwa na tatizo hilo. Ifahamike kuwa...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
ACCORDING TO Rushton’s Race, Evolution, and Behavior fully modern Homo sapiens emerged in Africa 200,000 years ago. 100,000 years ago, a small group of Africans had a sudden urge to head north...
2 Reactions
197 Replies
28K Views
PACHA WALIOUNGANA KIFUANI: Wameungana kuanzia kifuani hadi tumboni katika hospitali ya misheni ya Berega huko Kilosa mkoani Morogoro.
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Kwanini siro hakemei neno nyumbu? Je kuitwa nyumbu ni sifa kwa mwanadamu? Je siro anavyokataza maneno ya uchochezi je neno nyumbu halikemei kwa kuwa kwenye kamusi ya kiswahili neno nyumbu ni sifa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
[http://dxzccmtp98vpc] Swala la usafiri hasahasa kwenye miji mikubwa ni hitaji la kila siku pale ambapo una ishu zako za hapa na pale, ishu kubwa pia kwenye miji mingi ya Afrika ni kulipia bei...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Baada ya kuvuka sehemu moja inayoitwa Nyancha Bukenye mida hii kuna polisi wanasimamisha kila gari linalopita barabarani na kuwalazimisha madereva kutoa hela wakidai wana speed na makosa mengine...
15 Reactions
83 Replies
7K Views
Siamini kabisa Euro moja ni 2532 record breaking. Pia sukari 4000. Dah Sizoooonjeeee yani bonge la reject bora hata Asharose Migiro ama Membe wangeteuliwa siku ile. Jamaa kashindwa Jamaa hawezi...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Najiuliza tu,.. Hii pongezi anaitoa kutoka moyoni kweli ni fix... Kama ni kweli kwanini katika serikali yake hawa waibuaji wa huu uchafu wanapata mateso na kunyimwa nafasi ya kuibua na kuikosoa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili jambo linaumiza sana kama mzalendo wa nchi yangu watu kuchukuliwa hatua wakikemea mambo fulani kisa wamesema ukweli na kwakuwa ukweli unauma wanawekwa ndani na polisi. Katiba ikivunjwa polisi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemuagiza Mkuu wa Wilaya kuchunguza ubadhirifu wa mali na fedha uliofanyika kwenye mabanda ya maonyesho ya Nanenane. Pia ,amesema anashangaa kuona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna aliyejua kwa uhakika kama Trump angekuwa rais wa 45 wa Marekani lakini ndio hivyo amekuwa. Watu walifikiri David Cameroon angemaliza muda wake kama waziri mkuu wa Uingereza, yalitokea ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna swali moja huwa najiuliza sana katika maisha tunayoishi. IVI INGEKUWAJE KAMA TUNGEKUWA TUNAISHI BILA UWEPO WA NYUMBA ZA IBADA KAMA MISIKITI AU MAKANISA. UNAFIKILI TUNGEKUWA TUNAISHI...
0 Reactions
10 Replies
939 Views
Zamani ilikuwa kawaida kusikia hizi kauli kutoka kwa wasomi wengi wa elimu ya juu... Private muajiri anabana sana... Serikalini Kuna muda mwingi wa kufanya mambo yako... Pia Kuna semina semina...
0 Reactions
9 Replies
949 Views
Wamama mlioajiri kina dada wa kuwasaidia kazi za nyumbani mnawalipaje mshahara??? Unampa kwenye bahasha, cash, unatuma kwao au unafanyaje??? Nimeona hii topic sehemu nikasema tupeane uzoefu...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom