"Ntaanzia Private, nikipata uzoefu nitarudi serikali ili niwe na muda wa kufanya mambo yangu " ...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,209
2,000
Zamani ilikuwa kawaida kusikia hizi kauli kutoka kwa wasomi wengi wa elimu ya juu...
Private muajiri anabana sana...
Serikalini Kuna muda mwingi wa kufanya mambo yako...
Pia Kuna semina semina visafari Yani mtu hutumii mshahara wako...

Mambo yanapowekwa Sawa ni ajabu kushangaa kuona mtu anamshangaa anaelia hali mbaya kwa Misingi ya heading hapo juu...
Angalau watanzania wote tunaamshwa kuyaangalia maisha katika nyuzi 360.

Nawaza tu, tafadhali nisipondwe mawe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom