SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
nilipata passport muda mrefu kidogo ila ilikosewa mwaka wa kuzaliwa then sikuona umuhimu sana wa kubadilisha sababu nilikua na safari ya haraka nikaitumia kwa muda kama miaka kumi sasa nataka kurekebisha ule mwaka wa kuzaliwa procedure zake zinakuaje tafadhali