Tunahitaji watu wazima 4 wenye tatizo sugu la athma tutawatibu bure

Alikaeli

Senior Member
Jul 30, 2016
169
193
Wana JF

Tunaomba tupate watu 4 tu wenye tatizo la athma ili tuwatibu bure ila vigezo na masharti kuzingatiwa. Lazima uwe serious na uwe na ushahidi wa kuwa na tatizo hilo. Ifahamike kuwa tutakuelekeza ununue dawa hapo ulipo na sisi tutakuelekeza matumizi ya kila siku/ wakati na tutakufuatilia kwa karibu saba. Asiye mgonjwa asituandikie maana hatuna muda wa kupoteza kujibu maswali yake ila anayemuuguza mgonjwa ajiandae kujibu maswali ya historia ya mgonjwa. Mgonjwa awe tayari kujibu sms zetu za kufuatilia ugonjwa wake na kukubali masharti ya dawa.

Kupona ni uhakika kwa majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Karibuni.
 
Mmejuaje kama kuna wagonjwa humu? Maana mmetoa na angalizo asiye mgonjwa asiulize swali !

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Guinea pig...... Ombeni kibali kwanza kabla ya kujaribu mabomu yenu kwa binadamu

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Wana JF

Tunaomba tupate watu 4 tu wenye tatizo la athma ili tuwatibu bure ila vigezo na masharti kuzingatiwa. Sms 0766112752. Lazima uwe serious na uwe na ushahidi wa kuwa na tatizo hilo. Ifahamike kuwa tutakuelekeza ununue dawa hapo ulipo na sisi tutakuelekeza matumizi ya kila siku/ wakati na tutakufuatilia kwa karibu saba. Asiye mgonjwa asituandikie maana hatuna muda wa kupoteza kujibu maswali yake ila anayemuuguza mgonjwa ajiandae kujibu maswali ya historia ya mgonjwa. Mgonjwa awe tayari kujibu sms zetu za kufuatilia ugonjwa wake na kukubali masharti ya dawa.

Kupona ni uhakika kwa majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Karibuni.
Sijawaelewa? Ebu kuwa brief and precise Mkuu
 
Mna upeo na uelewa mdogo sana kuhusu drug trial kuna hatua za kufata kama kupata vibali na kuweka wazi viambato hai(active ingredients) vya dawa zenu kwa mamlaka husika ili wathibitshe kama si hatar kwa afya na kisha mpewe vibali vya kufanya hvyo..ndio maana mamlaka ya chakula na dawa ikawepo..msicheze na afya za watu tafadhali otherwise mtuambie nyie ni waganga wa kienyeji ambao nao pia wana vibali siku hizi..

Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
 
Kwani una tatizo hilo hadi uchangie
Wewe unaposema hutaki maswali ambayo siyo ya wagonjwa una maana gani unataka wakukimbilie kwa sababu wana matatizo bila kujua uhakika wa kile usemacho !!!

Unapoaanda Mjadala humu jiandae na changamoto lasivyo unaweza kujitundika kwa hasira

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Mna upeo na uelewa mdogo sana kuhusu drug trial kuna hatua za kufata kama kupata vibali na kuweka wazi viambato hai(active ingredients) vya dawa zenu kwa mamlaka husika ili wathibitshe kama si hatar kwa afya na kisha mpewe vibali vya kufanya hvyo..ndio maana mamlaka ya chakula na dawa ikawepo..msicheze na afya za watu tafadhali otherwise mtuambie nyie ni waganga wa kienyeji ambao nao pia wana vibali siku hizi..

Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
Watakaokunywa wa kwanza ndio watakuwa wanafanya majaribio ya dawa, Inaonekana ni kama Makombora ya Kim Muda wowote wanarusha kupima upepo.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Back
Top Bottom