lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,375
Kwanini siro hakemei neno nyumbu?
Je kuitwa nyumbu ni sifa kwa mwanadamu?
Je siro anavyokataza maneno ya uchochezi je neno nyumbu halikemei kwa kuwa kwenye kamusi ya kiswahili neno nyumbu ni sifa kwa mwanadamu kuita nyumbu?
Kwanini zitto kabwe hajakamatwa na jeshi la polis kwa kuwaita wanadamu wenzake nyumbu?au kwa zitto kutamka neno nyumbu ni sifa kwa mwanadamu?
Sent using Jamii Forums mobile app