Siamini kabisa Euro moja ni 2532 tzs

Siamini kabisa Euro moja ni 2532 tzs

Comrade MAGHAYOO
Dollar imefikia ngapi sasa?


Chief Economist
mkuu dollar ni 2192 tzs na hapo imeshuka kwa ajili ya Trump kwasabab kabla ya Trump wakati wa Obama the dollar was so much stronger ilikuwa sawa na Europe.

Sizonje Hovyoooo kabisa
 
Siamini kabisa Euro moja ni 2532 record breaking. Pia sukari 4000.

Dah Sizoooonjeeee yani bonge la reject bora hata Asharose Migiro ama Membe wangeteuliwa siku ile.

Jamaa kashindwa Jamaa hawezi kabisa.

Hovyoooo kabisa
Mkuu rate imefika TZS 2600.

99d540d6c87f2e7c59a43f82c8613a12.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kabisa Euro moja ni 2532 record breaking. Pia sukari 4000.

Dah Sizoooonjeeee yani bonge la reject bora hata Asharose Migiro ama Membe wangeteuliwa siku ile.

Jamaa kashindwa Jamaa hawezi kabisa.

Hovyoooo kabisa
Uchumi unavurugwa siku moja, unatengenezwa kwa muda mrefu. Tumia kichwa kufikiri na uache siasa za kitoto
 
Kwa hiyo Chadema wakichukua nchi wataipandisha thamani ya shilingi hadi kiwango gani?

wazee wa MIGA!!
 
Siamini kabisa Euro moja ni 2532 record breaking. Pia sukari 4000.

Dah Sizoooonjeeee yani bonge la reject bora hata Asharose Migiro ama Membe wangeteuliwa siku ile.

Jamaa kashindwa Jamaa hawezi kabisa.

Hovyoooo kabisa
Hata babaako hakuweza kuishi vizuri na mama yako na ndiyo maana akakupata mtoto chenga kama wewe mpotoshaji, wapi sukari yauzwa hiyo bei. Mngese wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom