Naona zoezi linakamilika hivi punde, mwezi huu wameondolewa wengine baada ya wengi wao kushindwa kuwasilisha vithibitisho vyao.
Nachokiona:Kama umevuka hili zoezi ujiandae kuona mabadiliko ya...
Wanajamvi kupitia huku JF hamjambo? Kinachonifurahisha humu ndani wapo wabobevu kila nyanja. Kabla sijajiunga na JF nilikuwa naisikia sana, na pia kila ninaloweka humu ndani, ukweli nafarijika na...
Kama kichwa kinavyo someka, moja ya habari zilizo enea na ambazo huwapa watu wengi hofu ni kuwepo kwa huyu mdudu.
Hofu huzidi kutanda baada ya kuwepo habari kuwa mdudu huyu ana mdhara na kuna...
Habari wanaJF!!
siku chache zilizo pita nilikuwa kwenye nyumba moja ya wapangaji (wengi wao ni Wahindi) mitaa ya kariakoo Dar es Salaam. Siku hiyo nilishuhudia kuona watoto wawili wa kihindi...
Dar es Salaam.
Licha ya baadhi ya watu kulalamika mara kwa mara kuwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji huchelewa kufika katika maeneo ya ajali za moto, utafiti mpya wa shirika lisilo la kiserikali la...
HADI LEO SALARY HAIJASOMA
LICHA YA KILA KITU KUWA SAHIHI.
Watumushi wengi bado wanahaha kuingiziwa mishahara yao.MTU anaambiwa hamna tatizo asubiri.Huu usumbufu unapoteza ari ya MTU kufanya kazi...
Baada ya kupotea hewani kwa siku kadhaa naona Startv wamerudi hewani.
Je wameweza kulipa deni walilokua wanadaiwa na TRA au wamenegotiate na kufikia muafaka?
All in all heko kwa Diallo kwa...
Sasa waweza kununua Chopa kwa dola laki moja na elfu ishirini za US. Kwa ufafanuzi soma hapa chini
According to HeliWhale, the helicopter will cost $120,000, which includes heating and...
1. Hivi unavoambiwa mtu kaachiwa kwa dhamana ya milion kumi ni hela analipa taslimu au inakuwaje?
2. Na kama ni pesa taslim akimaliza kesi anarudishiwa au?
3. Na kama harudishiwi hela inakuwa ya...
JESHI la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka (16), mkazi wa Sabuko katika Wilaya ya Siha mkoani humo, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa dada yake mwenye umri...
Kinachonisikitisha zaidi ukiwa unaangalia matangazo Mubashara kupitia televisheni ya taifa muonekano wa picha hauna mvuto, tofauti na Azam tv, ITV, Star tv na Clouds tv.
Huwa najiuliza sana...
DUNIA ina maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 27, 2017 mtangazaji Geah habib kuifuatilia Hekaheka iliyotokea Mara ambako wanafamilia moja kugeuka na kula majani baada ya baba...
HOW WERE YOU TREATED THE FIRST TIME YOU REPORTED FOR THE JOB?
Mimi ninakumbuka kwenye kampuni moja ya mawasiliano huko Mwanza siku ya kwanza nilikutana na kaka mmoja wa kabila la moja kutokea...
Mh. Rais wetu John Magufuli.
Sisi ni wananchi wa Kinondo mashariki kata ya Mabepande Wilaya ya Kinondoni.
Tuna mashaka sana na zoezi LA uhakiki wa ardhi linaloendelea hapa Kinondo Mashariki, kwa...
Kwa siku dala dala linakamatwa kwa takriban mara tatu, askari hawa hawa wanapanda kwenye magari yetu bure juzi tulisikia konda wa daladala ameuawa na walinda usalama ambapo chanzo kilikuwa ni...
Wana JF habari zenu,
Mnamo mwaka 2002 aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Yusufu Makamba alitangaza baada ya miezi sita kuwanyanganya ardhi wale waliokuwa wakimiliki mashambapori hayo...
Ukisoma maneno ya mwisho hii taarifa aliyolewa leo utaona wazi kuwa huyu mama ameshindwa kuwa professional kwenye kazi yake na anaongozwa na ushabidi na hisia za kidini.
Kwa Mtu wa Habari/PR...
Wote nawapa salamu zangu nyingi.
Nachukua nafasi hii kuwaomba SUMATRA na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani kuwasaidia wananchi ambao wanateseka kwenye usafiri wa umma wakati wa...
Nzega. Idadi kubwa ya wakazi wa Kijiji cha Undomo wilayani Nzega wameyakimbia makazi yao baada ya wanawake watano kuuawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani za kishirikina.
Pia, wanafunzi wa...
Mara baada ya kufungiwa na TRA, Redio Free Africa walijiunga na BBC English service saa 24. Lakini sahivi hata hiyo BBC yenyewe haisikiki tena. Saivi ni mawimbi tu shshshshshshhshsh...