Mwanzoni Radio Free Africa wanatangaza kwa kimombo, sasa watoweka hewani kabisa.

Mbele kwa mbeleeeee....


Kama nawaona vile TRA na kufuli zao kule migodini kwa ACACIA.
 
Hutasikia tena sh sh hhhhhh utasikia mmiliki yuko segerea na hapo utaelewa ni wakati wa tajiri kuishi kama shetani na maskini kuishi kama malaika...
 
Kweli maana nilikuwa na enjoy bbc muda wote na kila saa Swahili news... bora iendelee walipe tu luku bbc pigeni tafu tunaenjoy taarifa zenu...
 
Radio Free Africa imerudi na sasa hivi naisikiliza katika gari.
Mara baada ya kufungiwa na TRA, Redio Free Africa walijiunga na BBC English service saa 24. Lakini sahivi hata hiyo BBC yenyewe haisikiki tena. Saivi ni mawimbi tu shshshshshshhshsh, chchchchchchchchch.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom