Elicopta (Chopa) zimeshuka bei...!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
Sasa waweza kununua Chopa kwa dola laki moja na elfu ishirini za US. Kwa ufafanuzi soma hapa chini

According to HeliWhale, the helicopter will cost $120,000, which includes heating and ventilation systems in the cockpit.
"Today nobody else produces aircrafts of this class, even the two-seater ‘Robinson' is heavier than ‘Afalina' and is, in fact, a completely different machine," Jacov Kolesnikov, general director of HeliWhale told Russia and India Report website.
"The American Robinsons are also much more expensive. A two-seat helicopter costs $300,000," he added.
Afalina has been built from scratch by the Russian designers, with HeliWhale producing all parts itself, except for the Austrian made engine, Rotax.

>>>>Meet Afalina: Russian manufacturer reveals the world’s cheapest helicopter (VIDEO) â€" RT News
 
Michael Mtitu kwa suala la service wataalam nasikia tunao wakutosha, ila kwa masuala ya kodi na ushuru sina hakika ni kiasi gani. Mkuu kama unauzoefu ebu tupe mchanganuo wa kuihudumia chopa ili tujipime kabla hatuaja uvaa mkenge.
 
Last edited by a moderator:
Hizi foleni za Dar hizi ni muhimu sana kueskroo mahali na kunua japo kachopa kamoja.
Kuwa makini lakini usije uka'muhongoiwa' au uk'weremiwa' ama uka'tibaijuikiwa' , kueskroo ni kazi ya hatari sana... fikiria mara mbili mkuu.
 
Michael Mtitu kwa suala la service wataalam nasikia tunao wakutosha, ila kwa masuala ya kodi na ushuru sina hakika ni kiasi gani. Mkuu kama unauzoefu ebu tupe mchanganuo wa kuihudumia chopa ili tujipime kabla hatuaja uvaa mkenge.

Engine yake inatakiwa ibadilishwe kila baada ya mda!
 
Last edited by a moderator:
Sina uzoefu TUJITEGEMEE ila kwa kufuata kanuni ya kuwa namba hazidanganyi, utagundua kuwa hivyo vindege kwa mtu wa kipato cha kibongobongo havifai kwa sababu:
-Itakulazimu ununue kindege cha zamani sana ili kuendana na madafu yako
-Kutokana na ukongwe kitakuwa kinahitaji service za mara kwa mara
-Parking yake ni airpot, huwezi kupaki nyumbani
-Bima yake itakuwa siyo ya kitoto
-Utalazimika kuingia darasani au kuajiri rubani
-Mwisho kabisa mafuta ambayo hata kwenye vitz huwa yanatushinda
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini lakini usije uka'muhongoiwa' au uk'weremiwa' ama uka'tibaijuikiwa' , kueskroo ni kazi ya hatari sana... fikiria mara mbili mkuu.

Nini Muhongo, Tibaijuka and co, unaweza ukapelekwa kula nyasi baada ya kununua ndege/chopa kama Bazil Pesamoja Mrombo na mwenziye Yona, Hivi kuna mwenye taarifa za hawa wafungwa. Naona sasa wameshazoea jela hata ugali wanagombea
 
Lkn mimi ninavyoona Kweli bei ni ndogo lkn kiuhalisia kumiliki vitu km hivyo siyo jambo jepesi.Wengi naona wanachukulia kawaida sana kumbe sivyo.
 
Sina uzoefu TUJITEGEMEE ila kwa kufuata kanuni ya kuwa namba hazidanganyi, utagundua kuwa hivyo vindege kwa mtu wa kipato cha kibongobongo havifai kwa sababu:
-Itakulazimu ununue kindege cha zamani sana ili kuendana na madafu yako
-Kutokana na ukongwe kitakuwa kinahitaji service za mara kwa mara
-Parking yake ni airpot, huwezi kupaki nyumbani
-Bima yake itakuwa siyo ya kitoto
-Utalazimika kuingia darasani au kuajiri rubani
-Mwisho kabisa mafuta ambayo hata kwenye vitz huwa yanatushinda

Upo sawa Michael, Wenzetu wanatoa vibali vya mtu kujenga Helipad yake kwake ili kuweka parking,lakini hiyo helpad ina masharti na gharama kubwa za uendeshaji. Nyumba yako sharti iwe na vigezo flani ndipo uweke parking/helipad na mamlaka husika ndio zinafanya survey,ujenzi na mgt ya hako ka ndege kako.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kwa safari za daa mwanza na arusha kigoma, kanafaa? nipeni makadilio ya mafuta nikafate haka, bodaboda ya angani
 
Back
Top Bottom