illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Kwa siku dala dala linakamatwa kwa takriban mara tatu, askari hawa hawa wanapanda kwenye magari yetu bure juzi tulisikia konda wa daladala ameuawa na walinda usalama ambapo chanzo kilikuwa ni mtoto wa mlinda usalama kuzoea kupanda bure kwenye daladala kwa wanaojua ninaomba ufafanuzi wa hili swala.