Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 180
Naombeni msaada wenu wakuu, mimi ni mtumishi wa umma ambae nimejiunga na watumishi portal, mwanzo nilikuwa naingia vizuri tu na kuangalia taarifa zangu lakini kwa sasa inagoma naambiwa neno la siri au barua pepe nimekosea. Huwa nikiingia naanza kuingiza email yangu pale palipoandikwa barua pepe then kwenye neno la siri naingiza check number yangu lakini inanigomea. Naombeni kwa mnaojua mnisaidie nifanyaje ili niweze kuingia maana kuna taarifa muhimu nataka nizione. Asanteni