Iringa municipal vs Shinyanga municipal

Iringa municipal vs Shinyanga municipal

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Haya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba napo tukaona mapicha mazuri sana Moshi pakavuta. Sasa Leo Tarehe 16/7/2017 tuone wapi panavutia na pazuri zaidi kati miji hii ya Iringa na Shinyanga, wapi ni mji MKUBWA kuliko mwingine! WENYE PICHA TUONE SASA MAMBO WAPI PANAVUTIA KWA MANDHALI NK.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Iringa imekaa vizuri zaidi napendekeza atafutwe mshindani mwingine na sio Shinyanga.

Post sent using JamiiForums mobile app
Siku hizi hata Shinyanga baada kupata Lami ni pazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba napo tukaona mapicha mazuri sana Moshi pakavuta. Sasa Leo Tarehe 16/7/2017 tuone wapi panavutia na pazuri zaidi kati miji hii ya Iringa na Shinyanga, wapi ni mji MKUBWA kuliko mwingine! WENYE PICHA TUONE SASA MAMBO WAPI PANAVUTIA KWA MANDHALI NK.

Post sent using JamiiForums mobile app
Unaposema palivuta una maanisha nini? Kuzidi au mijadala hasa bk na moshi miji ilizidiana kitofauti na mbeya na tanga hivyo hivyo

Utafute miji inayofanana kiaina fulani mfano moshi vs bukoba mwz vs arusha ni miji inayoshabiana sana mfano bk na moshi kuna wasomi wengi na utamaduni unaelekeana na miji INA historia inayofanana bora utafute miji inayoleta ubishi miongoni mwa watu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Shinyanga ilidumaa baada ya kilimo cha pamba kufa , kifo cha shirika la reli , mikataba mibovu ya madini na kukosa elimu ya kutumia mifugo yao kujiendeleza. Ukame na mambo ya ushirikina vimeichelewesha sana Shinyanga.
Iringa panazidi kuendelea kwa kasi kwa sababu ya kilimo cha miti , chai , hali nzuri ya hewa , reli ya Tazara ( ingawa si kwa kiwango cha juu lakini imekuwa ikiendelea kipindi ambacho reli ya kati ilisitisha huduma zake ) , ni njia pia inayosafirisha mizigo kwa njia ya barabara kuelekea nchi za Zambia , Congo na Malawi.
Mambo ambayo wanashabihiana watu wa Iringa na Shinyanga uchapaji wa kazi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unaposema palivuta una maanisha nini? Kuzidi au mijadala hasa bk na moshi miji ilizidiana kitofauti na mbeya na tanga hivyo hivyo

Post sent using JamiiForums mobile app
Panalivutia zaidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha kufananisha mji wa almasi / dhahabu na ugolo

Post sent using JamiiForums mobile app
Izo almas zenyewe bila shaka hatakuona hujawahi mnapigwa tu mshukru Magu amekuja kuwatoa tongotongo, bora ungenyamaza maana hata ukiulizwa mkoa wa shinyanga kwa ujumla umepata gawio kiasi gani tangu muanze kuchimba madini huwez jibu...atleast jamii ya iringa wanalima nyanya na vitunguu lakin wametusua ivoivo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu labda ingekaa hivi,
Arusha/Mwanza/Dodoma
Tanga/Mbeya
Iringa/Morogoro/Moshi
Shinyanga/Tabora/Singida
Songea/Kigoma/Mtwara/Bukoba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Iringa sijawahi kufika ila nadhani sio kama huku kwetu usukumani

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Back
Top Bottom