Yaani wananchi wanarubuniwa kwelikweli

Yaani wananchi wanarubuniwa kwelikweli

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
4,452
Reaction score
4,938
Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
 
Inauma sana kwakweli. Sasa sisi tujitahidi kuielimisha jamii inayotuzunguka kwa kadri iwezekanavyo.
 
Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
Na ukumbuke ktk hao 75% kuna wa ukoo wako hivyo nawe hukosi chembehai za huo ujinga, ni rahisi kuona wa wengine sababu mwenyewe hujui kuwa hujui.
 
Nitakuja kuchangia akifunguka juu ya anayeturubuni na kivipi!
 
Na ukumbuke ktk hao 75% kuna wa ukoo wako hivyo nawe hukosi chembehai za huo ujinga, ni rahisi kuona wa wengine sababu mwenyewe hujui kuwa hujui.
hajui kuwa hajui kama na yeye ni mjinga! na kwakua hajui si rahisi kubadilika au kuondokana na ujinga pole yake mletamada
 
Aliyemuelewa mtoa mada anipe ufafanuzi
Maada hii nikuchangia kulingana na mtazo wako?. jiulize nani anawalubuni kisha anza kutililika. kama wewe wa lumumba kuwa upande wako na changia kwa kueleza upinzani unavyolubuni. kama wewe ukawa washugulikie fisiem. kama wewe yanga washugulikie simba na kama wewe acacia washugulikie tz. na vinginevyo. nazani umeelewa. mtoa mada yupo neutral hataki umbeya.
 
Aisee poa
 
Najaribu kuoanisha thread na avatar ya mleta uzi kama vinaweza kuwa na mahusiano!
229170.jpg
 
Back
Top Bottom