Madaktari mnalipwa mshahara mzuri lakini mnaishi maisha ya kuunga unga sana

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI..

Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani ukadhani ni kichaa unakuta kavaa nguo hazijanyooshwa, viatu vichafu, nywele hajachana yaani yupo ovyo ovyo tu...

Madaktari badiliken bwana kama mnavokuwa wasafi maeneo yenu ya kazi basi hata mtaani kuwen hivyo
 
Madaktari kuwa rough ni asili yao tangia wakiwa shuleni.



Wakiwa shuleni utakuta mtu ana midevukibao, minywele mekundu, mswaki kwenye begi la madaftari, sox zinatema, suruali ina madoa ya maharage, shati hajanyoosha na lina madoa kibao. Viatu anakanyagia kiufupi fujo tupu nawajua vizuri nimesoma nao hao Advance na O level.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom