Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ningependa kuwasilisha hili Ndugu zangu ni mara nyingi naona wenzangu wengi wakimkosoa mkuu wa nchi humu JF na kwengineko ambalo si vibaya kama unamkosoa kwa utaratibu wa nchi. Ila wengi wa hao...
0 Reactions
9 Replies
905 Views
jimbo la Ubungo serikali ilitoa hela wananchi wachimbiwe kisima cha maji, kwa vile Mkiti wa mtaa ni chadema kajichimbia nyumbani kwake na kujiunganishia yeye tu! then anawauzia wananchi, na mradi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Huyu kaka namkubali sana hakika anaweza sio siri. Hongereni ITV kwa watangazaji wanaojielewa. Yupo vizuri akiwa mubashara kwenye matukio na pia kwenye mahojiano na pia ni mtangazaji ambaye...
5 Reactions
44 Replies
11K Views
Mbunge wa jimbo la kawe Mh Halima Mdee amesema Genetic Modification ni sumu na haina tija kwa wakulima wa Tanzania, zaidi itaongeza umaskini. Mh Mdee ameyasema hayo wakati akichangia muswada wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kama na nyie mmekumbana nayo yaani mi sijaipenda kabisa,mtu uko bize unapigiwa simu unapokea halafu unakumbana na swali hilo.wakati huo labda huna namb a yake .acheni hizo
0 Reactions
2 Replies
751 Views
hii dhana kuwa kila mtu huwa anaasilimia flani ya ukichaa ni kweli? kuna dhana nyingine kuwa kuna wakati sisi wanadamu wenye akili timamu huwa akili zinaturuka na kuwa kama vichaa ila baadae...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana jukwaa. Hii habari imenisikitisha sana na imenikera sana kwa jinsi polisi wanavyolazimisha kuwapa watu makosa ili hali ni raia mwema tu. Niende kwenye mkasa ambao...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Zaidi ya Wafanyakazi 400 wa Serikali wanatarajia kuondolewa kazini mkoani Morogoro kutokana na kushindwa kujiendeleza kielimu baada ya kuajiriwa miaka 13 iliyopita wakiwa na vyeti vya elimu ya...
3 Reactions
55 Replies
10K Views
Si maneno yangu bali ya yule mkuu. Tatizo watu wanapepea vitambaa vyekundu mbele ya dume la ng'ombe. Inaumiza hata hivyo kuona jitihada za mtu zinaishia hivi. Pengine ni makosa ya mhanga, au nia...
1 Reactions
3 Replies
925 Views
habari za humu wakuu. hali si shwari huku kwetu udindivu mapinga majambazi leo siku ya tano wanafuruliza kuvamia yani kila siku jioni milio ya risasi mwisho ni sasa hivi jioni wamepika risasi na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo. Picha hizi ni za kwanza kuchukuliwa simba akimnyonyesha mwana wa chui kutoka jamii nyengine ya wanayama...
46 Reactions
182 Replies
30K Views
Leo ndio ile tarehe ambapo mahakama ya usuluhishi na uamuzi kitengo cha ajira Arusha CMA, inafungua tena issue ya Bob Lowassa Mkurugenzi wa Tanmedia (radio 5) dhidi ya wafanyakazi aliowafukuza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuwepo kwa umaskini na magonjwa mbalimbali imedaiwa ni vyanjo vya ongezeko la ombaomba jijini Dar es Salaam. Idadi ya ombaomba hapa nchini imedaiwa kuongezeka siku hadi siku, huku baadhi yao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mganga wa kienyeji katika Kijiji cha Majimoto kilichopo katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Kambona Nkana anayejulikana kwa jina maarufu la Kilosa (48) amefikishwa mahakamani baada ya kukutwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ametangaza zawadi nono ya tshs milion 10 kwa yeyote atakayetoa taarifa ya wahalifu wanaoendesha mauaji mkoa wa Pwani.
0 Reactions
1 Replies
676 Views
1. Yule ambaye aliigiza sauti ya mbowe na wema wakiongea kwenye simu na ikarushwa hewani kuwa Mbowe anamweka sawa Wema wakale nyama choma arusha. Ilikuwa inaonesha mbowe anamrekebisha binti akae...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye jana aliungana na Prof Kitila pamoja na mzee Hashim Rungwe kuisapoti timu ya Misosi FC inayodhaminiwa na kipindi cha Clouds 360. Waheshimiwa hao walitoa ahadi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimesikia kwa kuambiwa kuwa magari yote ya TANESCO ya mikoa ya Pwani na Dar es Salaam (hasa yale ya Emergency) yanajaza mafuta yake katika kituo kimoja cha mafuta. Kituo husika cha kujaza mafuta...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za mida hii wandugu? Katika kile kinachoonekana kuendana na kasi ya Rais wa awamu ya tano ndugu JPM, Manispaa ya jiji la Arusha imeanza operesheni ya kurudisha maeneo ya serikali...
1 Reactions
103 Replies
19K Views
JF Kwenu, Mabweni matatu ya wavulana katika shule ya sekondari Phillip Mangula iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoa mpya wa Njombe. Inakadiriwa kuwa hasara iliyopatikana ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…