Unko T
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 200
- 266
Leo ndio ile tarehe ambapo mahakama ya usuluhishi na uamuzi kitengo cha ajira Arusha CMA, inafungua tena issue ya Bob Lowassa Mkurugenzi wa Tanmedia (radio 5) dhidi ya wafanyakazi aliowafukuza kinyemela bila kuwapa stahiki yoyote.
Nauliza swali moja kwa Edward Ngoyai Lowassa kama kweli anaona boriti liliko kwa wanasiasa wa upinzani wake, kwanini haoni mabanzi na magogo katika macho ya watoto wake? kwanini Bob anadhulumu vijana wa kitanzania wasio na uwezo kwa kujificha kwenye kivuli cha sheria? na ilhali yeye Edward Lowassa akifahamu fika kuwa vijana hawa masikini wa kutupwa wanatendewa isivyostahili.
"Charity begins at home" Kama huwezi kumzuia mwanao Bob kunyanyasa vijana wa kitanzania, unaweza vipi kutetea watanzania milioni 50? na kujinadi wewe ni mtu wa watu?????
Haki itapatikana na uovu wa "The Lowassas" utajitenga.