I love New York. Utaenda New York

I love New York. Utaenda New York

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Si maneno yangu bali ya yule mkuu. Tatizo watu wanapepea vitambaa vyekundu mbele ya dume la ng'ombe. Inaumiza hata hivyo kuona jitihada za mtu zinaishia hivi. Pengine ni makosa ya mhanga, au nia ya serikali kuboresha huduma. Pia wanasema kutokujua sheria si kinga. Mama anauliza ataenda wapi? Hakika ataambiwa aende New York kwa kuwan anapapenda. Pole mama
IMG_20170801_095218.jpg
IMG_20170801_095307.jpg
 
Back
Top Bottom