Pete za vito

Diana Bx

Member
Nov 19, 2015
17
3
Habari wanajukwaa.
Mara nyingi naona watu wakivaa pete za vito vya thamani kubwa. Nashindwa kuelewa ni urembo au ni nini. Mara nyingi hizo pete wanavaa kwenye vidole vya mkono wa kulia.
Nawasilisha.
 
kila jambo ili uweze kulifahamu unahitaji kuwa na elimu juu ya jambo hilo , pete hizo zinatokana na vito mbalimbali ambazo kitaalamu zinazo kazi mbambali , nasema kazi mbalimbali
 
Back
Top Bottom