Mchele wa plastiki: Africa's social media hoax

Joined
Oct 5, 2015
Posts
90
Reaction score
483
MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX

Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya na Asia zilikuwapo tangu 2010. Mamlaka za kiserikali na za kitaasisi zimefanya uchunguzi na kukanusha uwepo wa mchele wa plastiki.
Kutoka Ufaransa, uingereza, hadi Hong Kong, tafiti zimefanywa na mashirika ya vyakula na vyombo vya uchunguzi na kuhitimisha hakuna mchele wa plastiki.
Tarehe 31 May 2016, Serikali ya Dubai ilitangaza hakuna mchele wa plastiki nchi humo. Senegal, Burkina Faso, Ivory Coast, Gambia na Ghana pia walikumbwa na taharuki hiyo ya mitandaoni, mamlaka za chakula zikafanya uchunguzi na kuhitimisha hakuna mchele wa plastiki. Mwaka 2016 Serikali ya Nigeria iliamuru kumwaga baharini mchele wa tani 2.5 ulioharibika, mitandaoni zikazagaa taarifa kuwa ulikuwa mchele wa plastiki, mamlaka za Nigeria zikakanusha.

Kuhusu video zinazosambaa zinazoonesha mchele wa plastiki, video ya kwanza inaonesha kiwanda kinayeyusha mifuko ya plastiki na kuzalisha mchele. Kwanza kabisa video ile ni halisi, si ya kutengeneza. Isipokuwa ujumbe ndio wa kutengeneza. Kwenye sekunde ya 28 ya video ile (video halisi) kunaonekana mifuko yenye lebo ya Eva. Eva ni kampuni ya kutengeneza kokoto ndogo za plastiki kwa ajili ya kutunzia vyombo vya udongo au glass ili kuzuia visivunjike. Vile viplastiki vinavyoonekana kama mchele, sio mchele. Ni vipira vidogo dogo (Plastic pellets) kwa ajili ya 'packing' ya vyombo vya udongo/glass. Wanunuzi wa vyombo vya udongo na glass bila shaka wamewahi kuviona. Vinafanana na mchele kiasi fulani. Unaweza kuingia kwenye browser yako (Google au yoyote) kisha tafuta pellet filling utaona video nyingi zinazofanana na hiyo.

Video ya pili ni ile inayoonesha mchele uliopikwa (wali) kisha kutengenzwa umbo la kitenisi kisha kinadunda dunda ardhini (kama kitenisi lakini sio sawa na kitenisi halisi). Jibu ni kwamba, hakuna maajabu kwa mchele halisi kudunda unapotupwa kwenye sakafu ngumu kwa nguvu. Mchele ni moja ya vyakula vya wanga (starch) wenye virutubisho vya Amylose na Amilopectin. Mchele uliotoka kuvunwa hivi karibuni unakuwa na Amylose nyingi, ambayo ina sifa zinazofanana na rubber (mpira). Hata wakati wa kupikwa una nata nata. Ikiandaliwa vizuri mchele wa aina hiyo unaweza kudunda ardhini kama kitenisi endapo utatengenezwa kwenye umbo la kitenisi. Mkurugenzi wa shirika la mchele (Rice Association) nchini Uingereza, Bw. Alexander Waugh anasema, kwakuwa mchele una 'carbohydrate na Protein' sio ajabu ukadunda kama kitenisi endapo utaandaliwa hivyo.

Misimamo.
1.Pamoja na tafiti kukataa, na kuita uzushi wa habari za mitandaoni bado haifai kusema hakuna mchele wa plastiki, isipokuwa tunatakiwa kusema haukuwahi kuonekana katika tafiti.
2. Taarifa za kuwapo kwa mchele wa plastiki zinaweza kuwa na lengo la kuharibu masoko ya vyakula vinavyotakiwa kutoka nje na kulinda masoko ya ndani (protectionism)
3. Mchele wa plastiki endapo ungaliweza kutengenzwa/endapo umetengenezwa basi gharama zake ni kubwa mara nyingi kulinganisha na mchele halisi.

Kwa Tanzania.
Nimeona tangazo la vitisho kwa watu wanaosambaza taarifa za kuwapo mchele wa Plastic. Wanatishiwa kufungwa. Kwa bahati mbaya Tangazo hilo linatoka kwa DCI Boaz, mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai. Nafikiri DCI ameongeza hofu badala ya kuondoa hofu. Ingependeza mamalka husika zifanye uchunguzi wa wazi, na uonekane kuwa ni wa wazi. Wananchi kokote walipo, wanaokutana na huo mchele wa plastiki wachukue kiasi wapeleke mahali husika, iwe ni mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), au shirika la viwango (TBS) au mahali pengine kwa ajili ya uchunguzi, kisha matokeo yatangazwe.
Hakuna haja ya kutishiana wakati taarifa hizi ni za kidunia, hazikutengenezwa na mzaramo. Ni taarifa za mitandaoni zilizozagaa kutoka huko inapotengenzwa hii mitandao tunayotumia kutishiana maisha. Namuheshimu DCI Boaz na sina shaka na uwezo wake katika nafasi aliyopewa, lakini ni vema akakumbuka kuwa uongozi ni ushawishi sio kushurutisha. Agizo la kuwatisha watu linaweza kutia hofu zaidi na kufanya watu wahisi kuna kitu kinafichwa.
Giza haliwezi kuondoa Giza.
 
Weka picha!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Nimependa andiko lako na ushauri wako kwa DCI Boaz. Kumbuka kila mtu ana wajibu wa kulinda uhai, hivyo DCI sio kila kitu a
Asitumie vitisho

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika poa sana internet imekua ni tatizo kwa dunia ya sasa mana kuna mambo ya ajabu sana ukifuatilia na watu wote dunian tumekua kama vichaaa sasa hivi
 
Ahsante sana. Soma nilichokiandika kuhusu hilo:

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe
 
Umenena vyema kabisa.
Habari nyingi za mitandaoni zinapaswa kuchujwa.Ila hii serikali yetu ya vitisho na mabavu.Wangeaza kushughulika na kina Delicious ningefurahi mimi.
 
Tuleteni CV ya DCI Boaz apa emu mimi nimshangazwa kweli Kutoa vitisho na inshu za Mitandaoni bila kuchuja ata, Hoax zipo dunia karibia yote

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cv yake ya nn

Halafu ukiletewa cv yake unafanya nn?
 
#C.Cyrilo,
Acha porojo na hizo taarifa zako mchele uliotengenezwa kiwandani kwa kutumia plastic upo mfano mwaka jana tu umekamtwa Canada sasa unataka kuaminisha watu nini hasa!?

Au TFDA na TBS wamekutuma ili wasitumbuliwe!?

Kwa taarifa , yako kawaambie hao waliokutuma kuwa; Tunafatilia kwa ukaribu sana bidhaa zote hapo Tanzania, siku ikithibitika kuwa huo mchele upo huko wakati wao walikanusha kuwa haupo basi matokeo yake , ni kuwa magereza ya Segerea na Keko yatawahusu.
 
Yeye kusema hivi haina maana kuwa mchele uliotengenezwa kiwandani kwa kutumia plastic kuwa haupo.

Mchele upo na umeuzwa hadi Canada nimeuona nikiwa Canada.

Kwa hiyo, jambo la msingi ni kuzuia usiingie nchi huko Tanzania ila siyo kuweka vitisho huku watu wakila chemical ambazo reaction yake ina side effects kubwa sana na za haraka katika miili yetu.
 
#C.Cyrilo,
Acha porojo na hizo taarifa zako mchele uliotengenezwa kiwandani kwa kutumia plastic upo mfano mwaka jana tu umekamtwa Canada sasa unataka kuaminisha watu nini hasa!?

Au TFDA na TBS wamekutuma ili wasitumbuliwe!?

Kwa taarifa , yako kawaambie hao waliokutuma kuwa; Tunafatilia kwa ukaribu sana bidhaa zote hapo Tanzania, siku ikithibitika kuwa huo mchele upo huko wakati wao walikanusha kuwa haupo basi matokeo yake , ni kuwa magereza ya Segerea na Keko yatawahusu.
Mange kasema sio?

Tuma link ya habari ya mchele wa plastic Canada
 
#C.Cyrilo,
Acha porojo na hizo taarifa zako mchele uliotengenezwa kiwandani kwa kutumia plastic upo mfano mwaka jana tu umekamtwa Canada sasa unataka kuaminisha watu nini hasa!?

Au TFDA na TBS wamekutuma ili wasitumbuliwe!?

Kwa taarifa , yako kawaambie hao waliokutuma kuwa; Tunafatilia kwa ukaribu sana bidhaa zote hapo Tanzania, siku ikithibitika kuwa huo mchele upo huko wakati wao walikanusha kuwa haupo basi matokeo yake , ni kuwa magereza ya Segerea na Keko yatawahusu.

Mkuu hebu tupe link ya huko canada tupate utetezi na sisi
 
Back
Top Bottom