Kituko cha mwaka Leo

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Nimeenda zangu bar moja Bunju njia ya Bagamoyo, lengo nipate mlo wa mchana baada ya kutoka kwenye kaujenzi kangu.

Sasa akapita Mmasai anauza Pochi za ngozi (walet) basi nikainunua hii Walet na baada ya kutoa vicent vyangu kwenye Pochi ya zaman. Nikaacha Ile Pochi kwenye meza na nikaenda kuagiza Maji.

Sasa kilicho tokea kuna jamaa akawa anaiwinda Ile Walet akijua imesahaulika. akafanikiwa kuondoka nayo mpka chooni na kukuta hakuna hata cent. atii kairudisha pale pale kwenye meza,naye akaanza kutega wengine.

Nikafikilia hawa ndio wezi hawa. Sijui nizushie balaa, Ila nikaona wataua maana watu siku hizi Kwa hasira kali nomaa.

Kweli magufuli kabana aiseee
 
Duu nimekumbuka waizi waliiba kwenye nyumba wakasafisha kila kitu wakaacha na maandishi "hamna kilichobaki"
Mwizi mwingine akaja akatoka ndani nae akaacha maelezo " just checking"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom