Hifadhi ya Taifa ya Kitulo Katika Rekodi Za Dunia

Hifadhi ya Taifa ya Kitulo Katika Rekodi Za Dunia

BakalemwaTz

Senior Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
120
Reaction score
126
proxy



Watalii na watafiti wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani hufika katika hifadhi ya Taifa ya Kitulo kwa ajili ya kuwaona ndege hawa ambao wanasafiri umbali mrefu wa kutoka bara moja kwenda bara jingine.

Hifadhi ya Taifa Kitulo ndiyo eneo pekee Tanzania lenye ndege aina ya tandawala machaka (Denhams Bustard) wenye uwezo wa kuruka kutoka bara moja hadi jingine.

Hifadhi hiyo inayopita katika mikoa ya Mbeya na Njombe ilitangazwa rasmi kuwa hifadhi ya Taifa mwaka 2005 ikijumuisha sehemu ya eneo la shamba la mifugo, msitu wa Livingstone na bonde la Numbi nchi pekee. Pia baadhi yao hawajui vivutio vya utalii vilivyopo Njombe wakiamini kuwa fursa ya utalii ipo katika mikoa ya Kaskazini pekee na siyo Kusini.
 
[emoji15] kwahiyo wanaweza wakaruka wasirudi tena?

Rubiikimimi[emoji85]
 
nimekumbuka mbali sana mwaka 2011 nilienda kutembelea kitulo. wakati na toka kwenye hifadhi hiyo ndege aina ya kwale alijigiga kwenye gari na kuanguka. nilishuka haraka nikamukama. nilienda kumukaanga. duu mtamu sana. JF kweri is a home of memories.
 
[emoji15] kwahiyo wanaweza wakaruka wasirudi tena?

Rubiikimimi[emoji85]
hapana rubii. huwa wanaenda na kuludi. na hii husababishwa na mabadiliko ya majira ya mwaka. i mean joto na baridi@ rubiii
 
Mimi mpaka muda mwingine huwa nahisi hao wazungu wakiwa kwao wanatuitaga wafugaji wa wanyama,na wakiwaona wamasai ngorongoro ndo kabisa wanaona Tz kama zoo fulan hiv
 
Hapana mkuu, sasa wakibaki huko huko nani atapeleka makinikia yao, hawa wanapiga route kwenda na kurudi, 4 times a year.
[emoji13] nyama yao inaliwa? Nataka kuwa napiga route kama wao

Rubiikimimi[emoji85]
 
[emoji13] nyama yao inaliwa? Nataka kuwa napiga route kama wao

Rubiikimimi[emoji85]

Nyama yao huwezi kula mkuu, ni ngumu sana kama tyre. We unafikiri route ya Tz to Ulaya mchezo. Wanakula sahani moja na kupishana tu angani na British airways.
 
Nyama yao huwezi kula mkuu, ni ngumu sana kama tyre. We unafikiri route ya Tz to Ulaya mchezo. Wanakula sahani moja na kupishana tu angani na British airways.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] mmmh

Rubiikimimi[emoji85]
 
Back
Top Bottom