Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=5WA-NCdESww Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na...
3 Reactions
8 Replies
278 Views
Hamjambo! Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan. Paulo/Saul...
27 Reactions
139 Replies
5K Views
Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Ngurumo ya Kitheolojia Katika Moyo wa Roma Vatican City – Kanisa Katoliki, ambalo limekuwa nguzo ya mafundisho ya miaka elfu mbili, linapitia mojawapo ya enzi zake za utata mkuu, hasa kuhusu...
3 Reactions
9 Replies
460 Views
Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule...
13 Reactions
73 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja anayetambulika kwa jina la Winfrida Emmanuel Mndeme mkazi wa Chanika, Dar es Salaam, aliyekuwa mjamzito na mwenye changamoto ya kusahau mara kwa mara, ameripotiwa kupotea nyumbani...
10 Reactions
35 Replies
568 Views
Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote. Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto...
5 Reactions
45 Replies
520 Views
October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu...
2 Reactions
13 Replies
227 Views
1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k 2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za...
3 Reactions
27 Replies
659 Views
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na...
7 Reactions
52 Replies
1K Views
https://youtu.be/GftOsqTIKFQ?si=Qf2bw0aDqWMJkBn2 ushuhuda kama huu juu ya uwepo wa viumbe vingine vya kiroho kutoka kuzimu na vinajichanganya kati kati yetu sisi wanadamu hapa duniani katika...
4 Reactions
43 Replies
814 Views
Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana...
18 Reactions
234 Replies
21K Views
Just imagine bila wazungu tusingejua muonekano wa mwezi wala dunia, wazungu wameleta mwanga wametutoa kwenye giza. Bila wazungu sisi tungeishi kama wanyama porini tu. Waafrika tumefanya nini la...
14 Reactions
44 Replies
562 Views
Hii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia...
3 Reactions
17 Replies
336 Views
Kuna jamaa yangu kanifuata kavurugwa hapa ananiuliza kuhusu suala la kupambana na wahuni fulani mtaani kwao wamemdhurumu, sasa mimi kiukweli siyo mzoefu kwenye masuala ya kukomesha raia kwa njia...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu...
22 Reactions
330 Replies
3K Views
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki...
13 Reactions
59 Replies
2K Views
Jiulize Kuna uhusiano Gani kati ya mtu kuguswa bega na kupoteza mbor. o 😂 Yaani watu wanaiamin katika technology, uvumbuzi na science, Sisi tunauana ati mtu alikugusa bega ukapoteza nyeti...
4 Reactions
21 Replies
427 Views
Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi? Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha...
15 Reactions
49 Replies
934 Views
Baada ya makala ya uchafu kwenye mabasi ya njia hii iliyofuatiwa na makala ya abiria kusafirishwa kama wafungwa , sasa nimewaletea makala ya vyakula wanavyolishwa abiria hawa wenye uchovu na njaa...
11 Reactions
59 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…