Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Angekuwepo mwendazake ile bandari ya kwala ingekua inatumika na foleni Dar es salaam ingekua story, najiuliza Kama huyo mbunge kuna nini? Mbona haianzi kazi? Kwa akili zenu za mafuta lita pound...
3 Reactions
– Replies
– Views
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani : Kabla ya kutuhubiria Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe...
6 Reactions
232 Replies
8K Views
TAMISEMI tunaomba msaada maana mfumo mnaubana mpaka mmepitiliza. Imefikia hatua nataka kutengeneza leseni mpya na sina leseni kwenye huo mkoa, lakini mfumo unanikatalia unataka niombe kama branch...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa...
15 Reactions
108 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza Kamanda mmoja wa polisi amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa Kamanda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko...
5 Reactions
383 Replies
43K Views
Kila Kitengo pale TRA kinatakiwa kuwa na customer care yake kama haiwezekani hivyo basi wagawe majukumu hata kidogo, wasiwe general tu or else wapewe authority ya kila kitu kwenye this new system...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
2 Reactions
10 Replies
827 Views
Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 10, 2026 pamoja na mambo mengine, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar atawasilisha ripoti kuu sita za...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Habarini wakuu Leo nimeona nikumbuke matukio niliyoyashuhudia ambayo yananiweka mdomo wazi na sijui nilikuwa nawaza nini(nitabase zaid upande wa kiroho) Kwanza kabisa mimi ni aina ile ya watu...
24 Reactions
386 Replies
5K Views
Mimi ni mkazi wa Viziwa Ziwa Shule, Serikali ya Mtaa Viziwa Ziwa, Kibaha mkoa wa Pwani. Nina malalamiko kwa Serikali kuhusiana na mradi wa urasimishaji ardhi wa Halmashauri ya Kibaha mkoa wa...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan...
7 Reactions
78 Replies
1K Views
NIDHAMU NI NJIA YA MAFANIKIO UNAYOITAJI KATIKA MAISHA YAKO. Kama umri wako bado ni kijana ni muhimu kutambua nidhamu ni nguzo ya mafanikio yako, ukishindwa kujenga nidhamu kipindi cha ujana...
14 Reactions
36 Replies
861 Views
Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia...
1 Reactions
10 Replies
508 Views
Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini...
2 Reactions
1 Replies
191 Views
Back
Top Bottom