Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Kwamuda mrefu sasa wamekuepo watoto ambao wanaomba hela kona ya pili (jina halisi sipajui)ukitokea Mombo kwenda Lushoto.Watoto hao watakua wamekimbia shule na jamii inayowazunguka nadhani haijapiga kelele bado.
Jambo la ajabu nikwamba polisi wapotu pale jirani Mombo na hawachukui hatua.
Wanachokifanya watoto wale nikuelekeza magari eti lipande au lisubiri mwenzake ashuke kwanza.
Nawauliza nyie polisi je hamjui kama hawa watakua MAJAMBAZI WA SIKU ZIJAZO?TENA MAJAMBAZI HATARI WANAOIJUA NJIA ILE VIZURI?
Au hamuwagusi watoto wale kwakua wanawasaidia jukumu lenu barabarani?
Polisi Mombo na Lushoto hii ni aibu yenu waondoeni watoto hata kabla ya kutumwa na DC au RC