Tuwajengee wananchi uwezo wa kununua kwanza

Tuwajengee wananchi uwezo wa kununua kwanza

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,332
Reaction score
17,582
Asilimia 60 ya bidhaa zote zinazozalishwa nchini lazima kwanza ziweze kununuliwa na kutumiwa na watanzania wenyewe kabla ya kufikira kupeleka masoko ya nje, bila hivyo viwanda vyetu vitashindwa kujiendesha (vitakufa au vitategemea kupewa ruzuku). Kama 90% ya watanzania hawapandi ndege basi shirika la ndege litakufa tu.
 
Kama uchumi wao utaendelea kuwa duni definitely hawatapanda ndege
Kama husemi 80% ya watanzania watalimaje, watafugaje, watavuaje na watauzaje wapi achana kwanza na habari ya viwanda kwa sasa. Hakuna mfumo, Watu wetu (80%) wanatumia ujanjaujanja wao kwenye kupata mitaji, pembejeo na masoko katika kulima, kufuga, na kuvua. wale wenye ajira nao vimishahara vidogoo na kodi kubwa, waliobakia ni wachuuzi (machina) na watu wasiolipa kodi (akina naniliu.... wa sandalusi!!!! na..).
 
Back
Top Bottom