Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,966
Reaction score
9,464
Kati ya watu wafuatao yupi wewe kwa ufahamu wako ndiye hasaa?

1. Anayefuata imani ya kiyahudi yaani dini ya mayahudi, au

2. Raia wa asili wa nchi ya asili ya Wayahudi, au

3. Yule mwenye asili ya Uyahudi kwa maana ya asili ya kizazi chake bila kujali anapoishi au

4. Yule anayetimiza vigezo viwili au vyote hapo juu!

Naomba ufahamu wako katika hili.
 
A Jew is any person whose mother was a Jew or any person who has gone through the formal process of conversion to Judaism.
 
A Jew is any person whose mother was a Jew or any person who has gone through the formal process of conversion to Judaism.
Hujajibu kitu hapo!

Mathalan, utamwitaje mtu ambaye mama yake ni Ashkhenaz Jew (Maashkenaz ni Mayahudi walioingia katika dini ya Kiyahudi, si Wayahudi katika kabila)
 
Mleta madaj jipange upya unambwela sana,tatizo kuna wapumbavu fulani na wenyewe wanajiita wayahudi,ovyo kabisa!
 
Hujajibu kitu hapo!

Mathalan, utamwitaje mtu ambaye mama yake ni Ashkhenaz Jew (Maashkenaz ni Mayahudi walioingia katika dini ya Kiyahudi, si Wayahudi katika kabila)

Why not?

I AM A BLACK JEW, what about that!!!!!
 
Kati ya watu wafuatao yupi wewe kwa ufahamu wako ndiye hasaa?

1. Anayefuata imani ya kiyahudi yaani dini ya mayahudi, au

2. Raia wa asili wa nchi ya asili ya Wayahudi, au

3. Yule mwenye asili ya Uyahudi kwa maana ya asili ya kizazi chake bila kujali anapoishi au

4. Yule anayetimiza vigezo viwili au vyote hapo juu!

Naomba ufahamu wako katika hili.

namba 2 na namba 3 ndio iltakiwa iwe hivyo,

lakini uchakachuaji umeleeta pia na namba moja,
 
A Jew is any person whose mother was a Jew or any person who has gone through the formal process of conversion to Judaism.
Ur right !
Ila utafanya kazi ya ziada kumshawishi mtu ambaye imani aliyonayo siyo asili yake tofauti na wayahudi ambao imani yao ndio asili yao na jadi yao na jina lao na mila yao na utaifa wao
 
Ur right !
Ila utafanya kazi ya ziada kumshawishi mtu ambaye imani aliyonayo siyo asili yake tofauti na wayahudi ambao imani yao ndio asili yao na jadi yao na jina lao na mila yao na utaifa wao

Sure, I got it.
 
It is important to note that being a Jew has nothing to do with what you believe or what you do. A person born to non-Jewish parents who has not undergone the formal process of conversion but who believes everything that Orthodox Jews believe and observes every law and custom of Judaism is still a non-Jew, even in the eyes of the most liberal movements of Judaism, and a person born to a Jewish mother who is an atheist and never practices the Jewish religion is still a Jew, even in the eyes of the ultra-Orthodox. In this sense, Judaism is more like a nationality than like other religions, and being Jewish is like a citizenship. SeeWhat Is Judaism?
 
Unafahamu kwanini nimesema mimi ni Jew kupitia BLOOD COVENANT? Jifunze kusoma maandiko, my DNA is Christ's and not human's DNA.
Usizunguke mbuyu!

Kuna Wayahudi wa kabila; mitume wengi katika Uislamu wametokea katika kizazi cha wana wa Israel kwa hiyo ikitokea kwa mfano Jesus ni kutoka katika kabila la Yuda basi yeye anakuwa ni Myahudi wa kabila, na ni Muislamu kwa dini.

Kuna Waislamu wengi tu wa namna hii ambao kabila lao ni Uyahudi (lakini hatutumii kuwaita Wayahudi kwa vile haipendezi).

Halafu kuna Mayahudi wa dini; hawa ndio wale waliobakia katika dini ya Kiyahudi hata ulipokuja Ukristo na baadaye Uislamu.
Au walioiingia katika dini ya Kiyahudi, mfano Maashkenaz (ambao kwa sasa ndio walioiteka dini ya Kiyahudi) ,Waafrika, Waarabu n.k
Inawezekana sana kuwa katika Saudi Arabia na Iraq kuna Waislamu ambao damu zao ni za Kiyahudi.

Kumbuka walikuwepo Madina, baada ya ukorofi wao wakafukuzwa kwenda Khobar mpaka wakati wa Khalifa wa pili Umar bin Khattab akawafukuza kwenda Iraq.Sehemu zote hizi walizokaa kuna ambao walisilimu hivyo ni wazi kuwa damu zao zipo.
Baadhi ya Wasaudi wanadai kuwa Wafalme al-saudi ni kutokana na vizazi hivi.
 
Uyahudi ni dini au kabila (asili). Kwa hiyo mtu yeyote ambaye ni muumini wa hiyo dini, mwenye asili ya watu wa uyahudi wote wanatambulika kama ni wayahudi. Pia baada ya maafa ya holocaust, uyahudi kisiasa hivi sasa unajumuisha mtu yeyote aliyechangia damu na mtu mwenye asili ya uyahudi hata kama ni vizazi vingi vilivyopita kwani wote hao walikuwa wanawindwa kuuwawa na waNAZI.
 
Back
Top Bottom