Aisee kuna watu wanajua kupika kitimoto aisee,khaa! Jamaa anayepika kitimoto hapa kwenye Maonyesho ya Wakulima Nane nane hapa Njiro Arusha, is a crazy guy! Kilo 2 rost na kaugali nimekata kama...
Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kutumia muda wao mwingi kuelimisha wajinga, kuwakumbusha, kuwakosoa, kuwapa taarifa na ikibidi, kama...
Asilimia kubwa ya kina mama hususani wa vijijini wanakabiliwa na elimu duni ya unyonyeshaji hali inayoelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la watoto wenye udumavu wa akili.
Ni katika...
Habari wana JF.
Naomba msaada wa haraka,
Nahitaji kuleta gari lenye vioo tinted kutoka usawa wa milango na body yote ya gari ni vioo na ni titend.
Sasa, naomba kuelewa mrejesho wa hapo Dar...
Nimeletewa barua na mjumbe serikali ya mtaa kama inavyosomekanimejaribu kuuliza kama nitapewa risiti inayotambulika na serikali jibu ni kwamba hata risiti ya kawaida haipo,je ni sahihi au...
Mimi nimeishi katika jumuiya ya watu mbalimbali na wa dini zote.
Cha kushangaza inapofika sikukuu au wamenunua jogoo basi watu hutafutwa kwa ajili ya kuchinja, japokuwa wanaume wapo.
Nimekula...
Dar es Salaam.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amegawa hati za viwanja 4,333 ambavyo vimekamilika kupimwa katika Kata ya Kilungule A, Manispaa ya Ubungo huku hati...
Wakuu Leo nimeingia Nakumatt super market Moshi nilichoona ni dalili za kufungwa maana hakuna bidhaa za kuuza zaidi ya maji! Kweli tunaelekea shimoni! Msiniulize picha hazipigiki Ni aibu tupu...
Kama kichwa cha mada kinavyosomeka napenda kuwafikishia ujumbe wamiliki wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Mkekabet watutengenezee app sie wadau wa weka nyingi ule nyingi. Mnapoteza followers...
Katika awamu ya tano, kuna viongozi wengi wa juu wa serikali katika wizara, idara, taasisi na wakala wana elimu ya kiwango cha juu cha uzamivu (PhD). Bila kusahau kuwa mkuu wa nchi naye ana...
Jinsi moja hawawezi kukaribiana wala kugusana kabisa kutokana na nguvu ya uvutano iliyopo kati yao "like poles repel,unlike poles attract"
------Umbali wa 'mtu-roho' mmoja na mwingine ni kama...
Kama mliwakodisha, bila shaka kuna mikataba ya kukodisha. Terms zake kama ni kuwa wakishindwa kuzalisha bidhaa zilizokuwa zinazalishwa hapo wanyanganywe, then Rais yuko sawa. Kama mliwakodisha kwa...
Uimara wa akili hauonekani kwenye mambo unayoyafanya. Mara nyingi unaonekana kwenye mambo ambayo hutaki kuyafanya. Kuimarisha akili yako inakuhitaji uwe na uwezo wa kutawala au kudhibiti fikra...
Mbunge wa Kibiti, Mhe Ally Seif Ungando yupo mbioni kuanza ujenzi wa nyumba za kudumu kwa wajane wote waishio wilayani Kibiti ambao waume zao wameuwa kwa kupigwa risasi na watu waliokuwa wakifanya...
“Wapo watu wamejaa wivu mioyoni mwao, wengine atasimama mbona hela hazipo, wale walizoea hela za rushwa, walizoea hela za utapeli, kwa sasa wanafikiri fedha hizo zitapatikana kama zamani, kwa sasa...
Polisi waua majambazi 3,wakamata bunduki AK47
Magesa Magesa na Hemed Kivuyo Arusha
JESHI la Polisi mkoani hapa limeua majambazi watatu, kujeruhi mmoja na kukamata bunduki aina ya...
Salute.
Nataka kujua bei ya demockrasia ili tununue.
Musiishie tu kujibu hili mseme pia inauzwa wapi ili tununue.
Lakini msiishie hapo mseme anaeuza ninani ili tununue.
Muende mbali zaidi...