Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kutumia muda wao mwingi kuelimisha wajinga, kuwakumbusha, kuwakosoa, kuwapa taarifa na ikibidi, kama hawaelewi, unaweza kupata hasira na kuwatamkia maneno yasiyofaa, na kuonekana kukosa staha.

Au, kundi la pili ni la watu waliochagua ku'relax': kujifanya mjinga mwenzao na kutumia ujinga wao kujinufaisha.

Ndio maana Tundu Lisu na Andrew Chenge wote ni wanasheria nguli, lakini wanapingana bungeni. Kila mtu ana chaguo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Tanzania ina wajinga wa kiwango cha mwisho,hawabadiliki.
Walewale waliomsifia Magufuli Januari ndio wanaoendelea mpaka leo.
Hawafundishiki ,hawaambiliki.
Ni heri kuhama nchi tu au kukaa kimya ufanye mambo yako.
 
Kupambana na hali yao!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Unguli wa Andrew Chenge ni upi hasa? Mm naona fursa zimemtembelea tu na akai grab vema na ku make!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unguli wa Andrew Chenge ni upi hasa? Mm naona fursa zimemtembelea tu na akai grab vema na ku make!
Chenge anatumia uelewa wake kuwavuruga kwa maslahi yake maana kila wakati anafinyanga mazimwi ya kuwatisha wenzake ili wamtumie kuyaua wakati yakayazalisha yeye hivyo kutajirika zaidi kwa njia hiyo. Same aplied to N. Mkono ni watu walioinyonya nchi hii parefu kupitia huko ccm.

Nakuunga mkono mleta Post.

Haswaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kutumia muda wao mwingi kuelimisha wajinga, kuwakumbusha, kuwakosoa, kuwapa taarifa na ikibidi, kama hawaelewi, unaweza kupata hasira na kuwatamkia maneno yasiyofaa, na kuonekana kukosa staha.

Au, kundi la pili ni la watu waliochagua ku'relax': kujifanya mjinga mwenzao na kutumia ujinga wao kujinufaisha.

Ndio maana Tundu Lisu na Andrew Chenge wote ni wanasheria nguli, lakini wanapingana bungeni. Kila mtu ana chaguo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poignant reminder of choice Tanzania elite has to make.
 
Hivi Lissu hakushiriki kumnadi na kuwaelimisha watanzania(wajinga) kuhusu fisadi papa??!
Leo imekuaje tena?
Anapambana kila hali aishike dola na genge lake wale vizuri vilivyobakizwa na tawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani upo vizuri ndani ya hilo fuvu ulilolibeba kumbe ni bora ungebeba mzinga wa nyuki utuuzie asali!
Mahakama ya mafisadi mliyoianzisha na nyinginezo zilizokuwepo kabla mnafugia nanyigu siku hizi? Kama mna guts na dhamira ya wazi mbona hamfanyi jambo zaidi ya kuja humu kujambajamba hovyo?
Acha kufuata mkumbo na punguza mihemko kwani siasa huijui!
 
Wajinga kama wewe mleta mada huwaona werevu wajinga zaidi,

hebu jiulize umetafuta eneo mwenyewe ukajenga nyumba mwenyewe halafu serikali inakwambia ulipe kodi ya jengo nawewe kweli kwa ujinga wako unalipa, kama sio ujinga ni nini?

Hakuna mahali serikali imekupa msaada katika ujenzi wako, hakuna barabara hakuna maji hakuna umeme hakuna usalama,
 
Wajinga kama wewe mleta mada huwaona werevu wajinga zaidi,

hebu jiulize umetafuta eneo mwenyewe ukajenga nyumba mwenyewe halafu serikali inakwambia ulipe kodi ya jengo nawewe kweli kwa ujinga wako unalipa, kama sio ujinga ni nini?

Hakuna mahali serikali imekupa msaada katika ujenzi wako, hawajakupimia kiwanja, hakuna barabara hakuna maji hakuna umeme hakuna usalama,
 
Back
Top Bottom