!
!
Jukwaa la wahariri kupitia viongozi wao wameonesha kwa vitendo kwamba kumbe sio viongozi wengi wa selikalini tu ndio mazao ya kushindwa, bali hata viongozi wa hivi Vyama Vyama hivi na majukwaa majukwaa haya huenda wote wapo kwenye maeneo hayo hayo ya kushindwa
Baba yake.ameshamuombea msamaha.
Na magufuli kufanya vile ni kukiri kwamba makonda amekosea.sidhani kama kuna sababu ya kuendelea na adhabu kwa makonda kwa kosa la kuvamia clouds.
Labda waseme wana ugomvi nae BINAFSI.
Maana aligombana na clouds na wamepatana.sio tef wala,moat.
Teehe tehe tehe,bavicha ni watu wa kueneza chuki tu sio amani na upendo.
Mmewaingilia kafu,mkawavuruga hata kwenye BLW hawako,
Sasa mmeingia TEF kupitia wakala wenu Meena,mmeshaimaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.