Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 26
Habari Ndugu zangu,
Nina Ndugu yangu ambaye amemaliza hatua ya awali jeshini sasa hivi Yuko on Service Mbweni,ameniadithia mambo Mengi Sanaa,lakini lililonishangaza zaidi ni kuna idadi kubwa Sanaa ya Mashoga ndani ya JWTZ.
Naomba kuthibitishiwa jambo hili Kama kuna ukweli coz bado sijaamini kabisa